Kupata followers wengi JF unafanyaje?

kwa wale wenye insta fever kama mimi follower kupata ni rahisi kuliko maji jinsi ya kufanya we ingia kwenye account ya diamondplatnumz badili jina jiiite saidiplatnumz, au abdalahplatunmuz huwezi amin team wasafi ni wengi lazma watakufollow........ nashukuru lakini humu jf sijajua bado system inaendaje
 
Ukiweka uzi ni wa wote.
Ungekuwa umewalenga baadhi ya member ungewatag au ungespecify kabisa kwamba nani achangie na nani asichangie.

Bila hivyo nachangia ninavyojisikia..

Hivi form 4 bado hamjaenda shule tu??
Sawa endelea kuandika ujiskiavyo
 
Ujiskiavyo = ujisikiavyo (hizo shule ulisomea ujinga??)
Aaaah kumbe weye una matatizo ya ubongo unazani kila mtu aandike utakavyo hatuko kwa mitihani hapa kama wewe mwalimu endelea kuwafahamisha wanafunzi wako ili wapate kufahamu, pia kumbuka humu watu wapo wa kutoka jinsi mbalimbali usizani kila mtu kasoma lugha yako
 
Hahahaa hao watu wa kutoka "jinsi mbalimbali" ndio watu gani .

Dah sasa kama lugha ya kawaida inakushinda hao followers unataka wafollow ujinga
 
Back
Top Bottom