Recent content by Fall Army Worm

  1. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii

    Asante sana .Ubarikiwe kwa kumfungua ufahamu huyu mtoa mada mkurupukaji.Kanisa Katoliki haliwezi kukutupuka.
  2. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatupendi kuwaomba ushauri watu masikini?

    Labda wanaogopa tusije tukawaibia Mali zao
  3. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania Nina miaka mitano sijala UGALI

    Kwa vile wewe ni Ke no problem lkn kwa Me utakimbiwa na wanawake wengi sana.
  4. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lapata Papa mpya wa 267, ni Robert Francis Prevost kutoka Marekani, ataitwa Papa Leo XIV

    Mtume Mathia alipatikanaje?,Mashemasi saba walipatikanaje?,Wee bhana usituchanganye,endelea kula viporo vyako vya maharage huko.
  5. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Mbunge Kondesta Sichwale ampiga Kibao kijana wa CCM, inasemekana alichukizwa baada ya kuombwa posho

    Kwa urembo wa huyo Mbunge hill kofi haliwezi kuuma,Zaidi sana kwangu ni kunitekenya tu na kuniongezea nyege tu.😂😂😂😂
  6. Fall Army Worm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye umri wa miaka 28 anaswa akiwa ameficha dawa za kulevya gramu 300 sehemu za siri

    Halafu bado wanakuja kulaumu kuwa Wanaume hatuwaridhishi.Hii ajabu sana.
  7. Fall Army Worm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi mlemavu sina miguu, natumia baiskel, kuna baba mmoja ananijali, Anaishi mtaani kwetu

    Watu mna moyo.Watu mmekosa huruma kabisa kwa walavu dah!!!
  8. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyakazi wa Azam Tv, Rahabu Fungo amefariki Dunia

    Wewe ni mtoto wa juzi au ulikuwa unasikiliza zaidi redio mbao badala ya Redio hizi rasmi zinazotambulika.
  9. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 29 auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu, mume akamatwa

    Haya umefumania na kuua,Mkeo unamwacha nyumbani wewe unaingia Gerezani,sasa Ukiwa gerezani Wahuni wanabaki kumtembezea rungu,umepata nini?.Aisee omba Mungu yasikukute.
  10. Fall Army Worm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabraza zetu mnapoingia guest muwe mnazima taa na mshushe mapazia

    Wewe ni mpiga chabo tu!!,ipo siku utatobolewa macho.Ohooo!!
  11. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania Umasikini umekithiri mpaka trafiki anachota mafuta kwenye gari lililopata ajali

    Afanyeje sasa,naye anahitaji hela??!!.
  12. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania Raha ya familia ni kuishi Nuclear family sio kujaza watu

    Baaasi,umemaliza Kila kitu.
Back
Top Bottom