Recent content by Fakyuol

  1. Fakyuol

    Nahisi kuchanganyikiwa

    Jiulize kwanza what's soo special about him??? Najua sio mara yako ya kwanza wala ya pili kunyanduliwa,,,,,sasa juulize ni vitu gani vinakufanya uwe attached naye sana,,,kama ni caring na affections,,,ama ni pesa zake,,,ama ni the way alivyokuwa ana kukunja,,, whatever Then anzia...
  2. Fakyuol

    Natafuta mpenzi

    Kwa umri huo bado unahangaika kutafuta mpenzi???? Anyways kila lililo jema
  3. Fakyuol

    Wakuu poleni na majukumu, nimekutana na hasara kwenye hii biashara yangu ya kuonyesha mpira

    Sijakuelewa boss! Nachohitaji hapa ni kufanya replacements
  4. Fakyuol

    Wakuu poleni na majukumu, nimekutana na hasara kwenye hii biashara yangu ya kuonyesha mpira

    Naombeni ushauri Tv zangu zote mbili zimepata changamoto kwa wakat mmoja Ni TV za Hisense 55inches zote!! Moja fundi anasema motherboard imekufa (hii muda wa warranty umeisha) Ya pili.. ni mpya hata mwaka haina...imepasuka kioo Nmejitokeza hapa kuomba ushauri wa namna ya kupata kioo kwaajili...
  5. Fakyuol

    Nahisi nilivyosafiri, wife alichepuka

    Kwahyo sisi ndo tumechapwa au?? Majibu ya hilo SWALI ATAKIWA KUKUPATIA MKEO...KWA NJIA YOYOTE ILE AKUPE MAJIBU KUTUULIZA SISI,,KAMA MTU ALIT&MBW## AU LAAH NI UONGO HUO
  6. Fakyuol

    Msaada! Jinsi ya kuacha ngono iliokithiri

    Ukipata GONO usilitibu Huo ndo utakuwa mwanzo kuachana na umalaya
  7. Fakyuol

    Eric Omondi mmoja ni sawa na wasanii wa bongo 200

    Weka hoja bro...akili imefikia mwisho Mwisho wap?????????? N wap hapo mwisho kama unapajua????
  8. Fakyuol

    Nimeamua nibadilishe type za wanaume

    Bado haujasema!!!! Eti awe amesoma kwa shida!! Nlidhan nmeona vyote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hata ukimpata malaika bado..utaachwa tu!!
  9. Fakyuol

    Hata kama ungekuwa ni wewe lazima tu, ungeachana naye!

    Shalom wana jf Iko hivi, kuna huyu dada ni mzuri sana, nko naye kwenye mahusiano Kwa muda sasa!!! Ni boss flani hivi ana kampuni zake kama mbili kubwa In short ana mawe!!! Tatizo n kwamba...imekuwa kila nikiwa nafanya naye sex Akikolea Anataka nimnanii kinyume na kawaida Mm...
  10. Fakyuol

    Napenda sana wanawake wa kikatoliki

    OA KANISA SASA
  11. Fakyuol

    Tuoneshe asili/maana ya ID yako kwa video au picha, ya kwangu ni hii

    Mm id yangu...haimuhusu yeyote humu jf!!! It's just....kuna watu waliwahi kunifanyia visa!! Maisha yangu yakayumba sana......nilipitia nyakati ngumu sana Sintokaa nikasahau!! Ilaa baadaye nilihama nikaenda mkoa x Nkaanza UPYA!!!! kwahy id yangu...n zawad kwao!!! And they have to accept it!!
  12. Fakyuol

    Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

    Naachaje kutembea bro Mtaa mzima wanasema wanapenda mwondoko wangu!!! Yann niwatese?
  13. Fakyuol

    Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

    MCHAFU NI MCHAFU TU!!!! Wapo wadau wengi tu ni mabachela na ..ndani wanako kaa pako VIZURI sana!!!! Kujitia ubize na UVIVU usiokuwa na maana!! Ndo maana unakuta wengi wao minyanya inaozea ndani!! Vikombe viko uvunguni!!! Chumba ni kama ...dampo limehamia ndani! Usafi na kujitambua...ni...
Back
Top Bottom