Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,179
- 18,850
Tofauti ni mapishi tu,,,ila nyama ni Ile ileYa kuchoma haifanani na ya mchuzi, wala ya foili haifanani na ya kukaanga..!!

Usipati tabo nipo Tuangomi na kisubiroNimeamua nibadilishe type za wanaume 😂
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba 😂😂😂😂
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradi😂😂😂😂
The list goes on 😂😂😂😂😂😅
Wameshakupataaaaaa🤣🤣🤣🤣.Iyo k ni ya mama yako ama?
Maana mm sikujui na ww hunijui
Bado haujasema!!!!Nimeamua nibadilishe type za wanaume
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradi
The list goes on![]()

Sawa....kila mmoja anakua na kazi yake
Bora tu ajitengenezee roboti lake kama Nape!!Mbona unataka kuwahi mbinguni wewe.
Weeeh sina uduguu!! Si unajua hapa kati nilikuwa busy na husiano lilotaka kunitoa roho
Nipe bana ubuyu huo nakuja bobo

husiano chaliii ama niajee?Em sema kweli dear?Mwanaume mzuri ni yule mkionana energy zenu Zina match

Hivi mshamba ni mtu wa namna gani?Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂
Sasa hivi my preference is
1. Awe mwanaume mshamba, wazazi wake wapo kijijini
2. Amesoma kwa shida sana
3. Kapitia changamoto za maisha nyingi
4. Awe na akili nyingi Yani zile za kuzaliwa akili za kupambana na maisha
5. Awe na hofu ya Mungu na awe anafanya ibada frequently
6. Starehe za duniani sio priority yake , yeye anawaza ku invest
7. Ambaye ametoka kwenye familia ya baba moja na mama moja , hawa Ndio huwa wanajua umuhimu wa ndoa
8. Na awe na dada zake wa kuzaliwa nao, Hii humfanya aone thamani ya wanawake na kuto kuwa treat hovyo
9. Awe anatumia smartphone ya kishamba 😂😂😂😂
10. Na hajui fashion anajivalia tu bora mradi😂😂😂😂
The list goes on 😂😂😂😂😂😅
Nimeamua nibadilishe type za wanaume 😂