princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
Ila wakaka wa kikatoliki ndo wanaongoza kwa kutokuoa
OA KANISA SASAWadada wa Mama Maria umejaa neema mmeukosha mtima wangu, katika maisha yangu nimebahatika ku-date na wadada kadhaa wa kikatoliki, aisee wanajua kupenda, wanajua kupenda mno, haswa awe Church girl.
Nmemaliza.
Sio sana kulingana na idadi yaoMi sio mkatoliki ila mbona kama naona wakatoliki wanaoa sana