[QUOTnimepata taarifa humu kuwa mwl.Getaback ni marwhemu mi nimemaliza 1984 lakini hao waalimu wote wamenifundisha waaw kumbe ni mtoto wa mwl Shigela duh pia mwl msha alikuwa mwl.wa siaa mwembamba huyo sijui alinenepa baadae E=blueivvy;6141720]Umenikumbusha mwalimu chiboni ndiye aliyenifundisha...
Shule nilianzia chemchem duuh ikifika saa nne mbio simbamwene kwenye maembe nilipofika la tatu baba akanihamishia mwenge mazoezi mbona utoro uliisha maana nidhamu, walimu walikuwa wanafundisha vizuri, usafi ole wako uende bila kuoga unaogeshwa Shule, usipovaa soksi fimbo, kulikuwa na mwl...
mi pia sijaenda muda lakini kama ulikuwa unajua mbuga ya simbamwene kulikuwa na miembe ya kufa mtu sasa hivi ndio inaitwa ali hassani Mwinyi Yaani mji mpya umekuwa huko
dah enzi za hamisi ma mbwa, jambazi maarufu enzi zile akauwawa na aziz mwarabu, hahaa namkumbuka chizi mmoja alikuwa anaitwa mwajuma ringa, alikuwa soko kuu Tabora, ukienda disco na demu mzuri basi uwe na cha moto la sivyo utahadithia hadi wajukuu, diamond talks ndio ilikuwa jumba pekee la...
zama za kupanga foleni hakuna chakula,mavazi, watu wakiwemo jeshi wakataka kumpindua baada ya hali kuwa mbaya ukiwa na kativii tu utoe maelezo, ole wako upite unanukia kusachiwa na polisi ilikuwa kawaida sana, ile ilikuwa ni zaidi ya vita
Sasa hii too much hadi salio duh, Juzi asubuhi nilikuwa na 2000 kwenye simu ghafla nikaona net imepotea kutazama salio nakuta zero sikupiga simu wala sms na sijakopa nimelalamika tangu Juzi mpaka leo naambiwa tatizo linashughulikiwa mpaka lini Mnaboa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.