tigo mmezidi jamani

faizah

Member
Jun 22, 2011
62
26
Sasa hii too much hadi salio duh, Juzi asubuhi nilikuwa na 2000 kwenye simu ghafla nikaona net imepotea kutazama salio nakuta zero sikupiga simu wala sms na sijakopa nimelalamika tangu Juzi mpaka leo naambiwa tatizo linashughulikiwa mpaka lini Mnaboa
 
Yaani naona inatakiwa tuandamane..tujue hawa tigo wana matatizo gani kiasi wanatuibia hivi..ukilala ukiamuka unakuta hela imepungua na wanakuunganisha na manyimboa yao mabaya bila idhini yako...f#** tigo.weziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
hata mwezi haujapita toka nmetukanana na customer care kwa the same case ya faiza.eti walinijibu simu yngu ndio inaiba hela.watanzania baadhi tumelishwa unga wa ndele na hawa jamaa ndio maana tumekua km mabwege vle.ila naamini wanajiandalia kabuli wenyewe.halafu utadhan maskioni wametia mawe coz hawaskii kabisa vilio vya wateja wao.km mmeshindwa acheni bana.
 
hata mwezi haujapita toka nmetukanana na customer care kwa the same case ya faiza.eti walinijibu simu yngu ndio inaiba hela.watanzania baadhi tumelishwa unga wa ndele na hawa jamaa ndio maana tumekua km mabwege vle.ila naamini wanajiandalia kabuli wenyewe.halafu utadhan maskioni wametia mawe coz hawaskii kabisa vilio vya wateja wao.km mmeshindwa acheni bana.


hahahaa nimecheka sana jamani ! eti simu inaiba hela?hahaaa..mimi leo moderm yao inanisumbua nawapigia wananiambia toa line kwenye modemu weka kwenye simu ndo u recharge..gharrrrrr yaaani pumbavu kabisa ....
 
mimi hilo tatizo lilinitokea mara kadhaa nikawaibukia pale posta, hakuna la maana walilonisaidia siku hizi naona bora niwe natumia hela yao ya mkopo, yaani nnakopa alafu nnalipa hapo hapo salio linabaki kwenye mkopo hawajafanikiwa kuniibia tena, kwanza moderm yao nshaiweka kando.
 
mi natumia kwa sababu hakuna ban lakini wangenipiga ban ya maisha kwa matusi nnayowapa makastama kea
 
sasa hivi nna salio sh 84 inakataa kupiga simu wanasema niongeze salio
 
kazi ya TCRA ni nini????? niliskia wakisherekea siku ya mawasiliano duniani...... nchi hii huduma za mawasiliano ya simu ni mzigo kwa wananchi. PENDEKEZO: Kuwe na mjadala wa wazi kati ya hao wakuu wa ,itandao yote juu UBORA WA HUDUMAQ ZA MAWASILIANO KWA KAMPUNI ZA SIMU
 
Mimi nilijaribu kujiunga na vifurushi vyao kama mara mbili hivi, na zote hawakuniunganisha! Eti simu yangu inahitaji configuration,na wakati mwanzoni nilikua natumia bila shida, nilipoenda katika ofisi zao wakaniambia nenda baada ya muda jaribu,hadithi ikawa ileile, now nimehamia kwingine!
 
Nimejaribu Modem ya Zantel, mwanzoni ilikuwa angalau afadhali kwa spidi, tangu walipopunguza bei imekuwa na spidi ya jongoo. PU****U kabisa. Hivi haya makampuni ya simu yamekuja kutuongezea umasikini? TCRA nao bomu pia. Wakati ule walisema tusajili simu zetu na simu ambazo zitakuwa hazijasajiliwa zitafungwa. Tukapanga foleni weeee, wakaongeza muda, baada ya hapo kimya kabisa. Watu wanapata matusi na vitisho kutoka namba ambazo hazieleweki kama kazi. RUSHWA IN ACTION TCRA??!!! Sasa oooh TV Digital mwisho wa Analog ni Desemba, Nawaambia hakuna lo lote litakalotokea, wanaleta usumbufu usio na maana. Nia yai ni kuvunja soko la nyungo za Analog tunazopata matangazo dezo. Hawastahili kusherehekea, kwa mafanikio gani? inaelekea hawajali malalamiko ya wateja. Wanaiangusha serikali ya JK.
 
Back
Top Bottom