Recent content by FaizaFoxy

  1. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

    Tanzania kw mara ya kwanza nawaona wnacheza mpira wa hali ya juu. Hongera mama Samia.
  2. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

    Nini maana ya neno Uislam na Muislam?
  3. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Tunapaswa kuandika barua kwa wingi kwenye mamlaka za Marekani kuomba Delta Force waje kukamata hawa wasiojulikana watekaji na wauaji nchini

    Wengi wa wanaopotea Tanzania, sasa hivi ni misukule ya watu wenye uchu wa mali.
  4. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Tunapaswa kuandika barua kwa wingi kwenye mamlaka za Marekani kuomba Delta Force waje kukamata hawa wasiojulikana watekaji na wauaji nchini

    Tupe takwimu za wanaopotea Marekani halafu tueleze hao unaowategemea wameshindwa nini? Kwenu mmeacha kutoa kafara za watu kishirikina?
  5. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Mali na Burkina Faso zaweka marufuku kwa raia wa Marekani kuingia kwenye nchi hizo kama hatua ya kumjibu Trump

    Kwaza jiulize wewe binafsi unasubiri nini?
  6. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya waislam kama tumeshachanyikiwa

    Umeniita? Tatizo nini?
  7. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

    2026 Tanzania ina kila sababu ya kuishinda Morocco.
  8. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Aliyesema vijana mtoke Jeshi litawalinda mnamjua?

    Kanisome tena au chukulia kuwa naharisha humu. Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
  9. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania KERO Ni aibu kituo cha gas ya magari TPDC kuwanyima wateja Kutumia choo

    Nilisoma vibaya au post zimefanyiwa editing, nilijibu kwa uhakika wa TPDF.
  10. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Reincarnation...nazidi kupata uhakika binadamu hatufi

    Soma kuhusu Qareen (karina) katika Uislam, utapata jibu la wazi kabisa.
  11. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitabu chochote kitakatifu (Qoran/Bible) kilichoagiza Maridhiano na Shetani

    Kwa ufupi: Biblia inamwita Shetani “mungu wa dunia hii” (2 Wakorintho 4:4)
  12. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania KERO Ni aibu kituo cha gas ya magari TPDC kuwanyima wateja Kutumia choo

    Na wewe ungewaonesha kuwa u zaidi ya jeshi, ungejinyea tu.
  13. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo na Prof. Kabudi waitembelea kambi ya taifa stars Misri na kuwakabidhi bendera ya taifa

    "yaani" unaijulia wapi wakuja wewe.
Back
Top Bottom