Recent content by Faithyess

  1. F

    JamiiForums Tanzania Sio kila Mhaya ana dharau

    Shit, napita 2 ila naomba kujua aliyeleta mada ni kabila gani na wachangiaji wengine wamekosa maadili.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Komba: Kanisa Katoliki Mmejidhalilisha, Mmetufedhehesha

    Napita 2 ndugu zangu.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kifo cha kusikitisha Mbeya: Mke na Mume wakutwa wamekufa ndani ya nyumba yao

    Mbeya matukio ya aina hiyo yamekidhili, wanaume kuwaua wake zao. Jamani mkishindwana bora muachane.
  4. F

    JamiiForums Tanzania At the end fahari ya mwanamke ni mwanaume

    Umetisha ndugu, nimekukubali big up
  5. F

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kupunguza kitambi

    Nikutafute kwa njia ipi ndugu cool d?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

    Ndoa imeishakuwa ndoano, Mchungaji????? Unajiaibisha.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Happy birthday wana Jamii Forums wanaozaliwa siku ya leo

    Hongera sana Pdidy
  8. F

    JamiiForums Tanzania Sijasikitika, nimefurahi sana

    Inauma mwana dada kwa kuingilia mausiano ya watu. Pole.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Duu!!! Wanaume ni wabinafi sana kwani Mimi nalea watoto 3 wa mwenzangu na wanatabia za ajabu mfano wananiibia nguo, ela na kuwapelekea mama Zhao then kibaya zaidi huyo mwanaume anawasiliana na mke aliyezaa naye. Nikimuuliza ananijibu eti wanawasiliana kwa ajili ya watoto. Imenichosha sana na...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Binti (Mwanafunzi wa Chuo) auliwa na maiti kufichwa

    Ninaamini malipo na hapa duniani na ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga. Mungu aiweke roho ya marehemu panapositahili. Amina
  11. F

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

    Msaada wa kujua namna ya kupata form ya kujiunga na chuo cha uwaziri Tabora. Na ni wakati gani naweza kutuma maombi yangu.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Jamani mtandao wenu siuelewi ata kidogo, nikijiunga kwenye kifurushi then nikiitaji kuconnet kwenye internet inaonekana ipo lakini haiconnect ata kidogo na kifurushi kinakwisha sijui ni kwanini.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Bukoba sirudi tena ng'o

    Nyumbani ni nyumbani acha tujigambe Bukoba ndo kwetu acha hizo dogo.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ana ujauzito miezi sita yupo kwangu bado sijaenda kwao

    Kama mnaelewana na kusikilizana muache ajifungue kwanza ndo uende kwao. Nakupa hongela ya kujibiidisha kwa hilo kwani mwenzio nimeishi na mwanaume yapata miaka 6 Lila nikimwambia aende nyumbani nazua ugomvi.
Back
Top Bottom