Recent content by fahari tanzania

  1. fahari tanzania

    2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  2. fahari tanzania

    2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]...
  3. fahari tanzania

    Kaka yangu Mtatiro, usifuate njia ya waliopotea

    Binafsi nampongeza mtatiro, hiyo ndo njia pekee ya kupambana na wahujumu wa chama. Hata ww ukiamia nyumba mpya lazma ufanye mabadiliko fulani ikiwemo kuondoa vitu visivyo faa na kuweka vilivyo bora zaidi. Binafsi namuona Mh. Mtatiro kama kiongozi mashuhuri sana na atakae fika mbali kisiasa na...
  4. fahari tanzania

    Kaka yangu Mtatiro, usifuate njia ya waliopotea

    Jaman me nataka niulize, kwan Mh. Mbowe ni nan katika chama, yule ni kiongozi wa juu na kama nafasi yake yeye ananafasi kubwa ya kubeba maono ya chama na kua na msimamo binafsi kama mbeba maono wa chama aliye chaguliwa kikatiba. Kama hamridhiki nae subirini uchaguzi ujao mumchague mwingine...
  5. fahari tanzania

    Rais wangu Magufuli, uko kwa ajili ya masikini wapi?

    Kusoma vizuri ukiwa na waalimu wa kutosha huku umekaa chini na kukaa kwenye madawati mazur huku unaenda kuuza sura shule bila walimu lipi bora
  6. fahari tanzania

    Hawa kuku wa Malawi wanakula sana, watanifilisi

    Kaka nataka na mi nianze kufuga ndg yng, nakuomba uniambie nitakupataje ili unipe tips za ntaanzaje anzaje
  7. fahari tanzania

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Sasa mnakosoa au mna toa msaada, kama huna hoja ya kusaidia ni bora ukakaa kimya kuliko kuleta itikadi zisizo za msingi
  8. fahari tanzania

    Kukamatwa wanaolala nyumba za kulala wageni Mchana

    Dah, sijui tunapo elekea Tanzania yetu ni wapi jaman. Sioni mwanga mbele, naona giza na ombwe la uongozi usio na utashi wa kiungozi. Maskini mama Tanzania, kwann kila cku ww tu. KWELI NG`OMBE WA MASKINI HAZAI.!!
  9. fahari tanzania

    Mwanasheria Mkuu wa serikali akataza CHADEMA kutumia neno UKUTA katika Oparesheni yake

    Ndg yng umepoteza mda wako kuandika makala ndeefu mpaka na vfungu umejitahdi kuweka ila ni out of concept. Nakushauri upitie upya adhma ya CDM juu ya UKUTA then uandike
  10. fahari tanzania

    Hii ndio ndege ya ATCL iliyokamilika, tayari kwa kuja Tanzania

    Nimekupenda bure ndg yng, ume ukosha saana moyo wng..
  11. fahari tanzania

    Mbowe atakula sukari yenye mchanga?

    Nashukuru coz umegundua kwann vijana wengi wanamuelewa na kumsapot katka kila jambo Comrade Mbowe despite of his weaknesses kua hawana elimu wala ajira na hayo yote yamesababishwa na nan kama siyo hao maficiemu yako unayo jaribu kuwapgia debe hapa, alaf kuhusu unafki kuna mtu mafki na aliye na...
  12. fahari tanzania

    Wanafunzi wote walio Vyuo Vikuu wasio na sifa kuondolewa. Vyuo kurudisha fedha za wanafunzi hewa

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  13. fahari tanzania

    CCM acheni utapeli kupitia TV, inatia kinyaa

    [emoji15] [emoji15] , itakuaje akipgiwa kura ya apana.. na kama ni hvyo, kwnn wanashnikiza kua UCHWAR* lazma apwe uenyekiti na mbali zaidi wana toa vitisho kwa wajumbe wasio mtaka na kuwaita wahujumu.!? Nijibu plzz
  14. fahari tanzania

    CCM acheni utapeli kupitia TV, inatia kinyaa

    [emoji113] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Back
Top Bottom