Mama_Aheshimiwe
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,746
- 4,173
Aibu yako hata wewe!Maendeleo hayaji kama mlipuko wa bomu..it is a step wise thing..kwani ww uliiahid familia yako nn kwamba ukipata kaz utawafanyia..mpaka leo umefanya vingap?
Aibu yako hata wewe!Maendeleo hayaji kama mlipuko wa bomu..it is a step wise thing..kwani ww uliiahid familia yako nn kwamba ukipata kaz utawafanyia..mpaka leo umefanya vingap?
hiyo ni sawa na kusakafu nyumba kabla huja ezeka!vipi kwene suala la madawati? kuna ambao bado wanakaa chini?
Huu muda ilikuwa sio tuwaze kuchangishana madawatiVipi kwene suala la madawati? kuna ambao bado wanakaa chini?
nadhani alimaanisha wanafunzi 1000.hao wengi mno wanaelewa chochote kweli
Baba Mungu kwa nini wasimama mbali nyakati za shida za watanzania kama hizi
Aajiri walimu, tangu atangaze elimu bure, hata walimu waliokuwa wanajitolea katika shule hizo kwa msaada wa wazazi hawapo tena..Embu jitengeni na siasa tumsaidie huyu mkuu kuinua taifa letu sio lake peke yake.
Kwani wewe kwa miezi kumi ulitaka awe ameisha fanya nini???, nipe tu mfano.
Vipi kwene suala la madawati? kuna ambao bado wanakaa chini?
Hiyo shule ina matundu 8 ya vyoo vyumba vya madarasa kama 10 hivi watoto wanasoma chini ya mti kuna watu wamejitolea madawati lakini hata haijasaidia Mpaka walimu wanaofundisha hapo utawaonea huruma aseeKuna shule iko Katoro Geita, ina wanafunzi 10,000.ukiwakuta nje mfano wakati wa mapumziko utadhani michezo ya umitashumta unafanyika hapo.
Ila sijui idadi ya walimu na mahitaji mengine.siku nikirudi tena huko nitaulizia
Hata yeye anajua kuwa anachosema sio anachofanya
Hakuna kitu kibaya kuyatilia maanani maneno ya utaniBaada ya kukamilisha ukusanyaji data wilayani Igunga baada ya Nzega na Sikonge mkoani Tabora juu ya hali ya elimu nchini na huduma za afya, nimejiuliza maswali mengi sana.
Hivi Rais wangu anasema atatembea na masikini, hivi masikini wapi??
Katika shule moja, unakuta walimu wanne wanafunzi mianane, shule zingine walimu watatu wanafunzi mia sita, hao watoto wanasomaje???
Tar 01/09/16 nilitembelea shule ya Msingi Mtungulu. Shule hii iko kilomita 22 kutoka Igunga mjini. Nilikuta walimu watano (05) huku wanne wakiwa kazini mwingine akiwa na matatizo.
Idadi ya wanafunzi shuleni hapo ni zaidi ya 600. Masomo ya yanayondishwa ni kama vile Historia, Uraia, Kiswahili, Kiingereza, Haiba na michezo, Hisabati, Jiografia, Tehama nk.
Madarasa ni kuanzia la kwanza mpaka la saba. Kwa masomo hayo hapo juu walimu watafundishaje???
Maana yake ni kwamba ni kwamba, vipindi vingi havifundishwi. Watoto wengi wanakwenda kuzurura shuleni.
Nilipofanya utafiti juu ya hali ya uwezo wa watoto, bado tatizo la kutokujua kusoma na kuandika ni kubwa sana. Sasa, kama tunashindwa kupeleka walimu kusaidia watoto hao wa masikini, hao masikini tutawasaidiaje????
Kuna msaada kwa masikini zaidi ya elimu na Afya???
Tuweke kando siasa za watumishi hewa, tusaidie Taifa hili. [HASHTAG]#Ajiri[/HASHTAG] walimu
Utaitwa "Mchochezi Bure ndugu yangu". Fumba macho tu kwa haya yote unayoyaona.Baada ya kukamilisha ukusanyaji data wilayani Igunga baada ya Nzega na Sikonge mkoani Tabora juu ya hali ya elimu nchini na huduma za afya, nimejiuliza maswali mengi sana.
Hivi Rais wangu anasema atatembea na masikini, hivi masikini wapi??
Katika shule moja, unakuta walimu wanne wanafunzi mianane, shule zingine walimu watatu wanafunzi mia sita, hao watoto wanasomaje???
Tar 01/09/16 nilitembelea shule ya Msingi Mtungulu. Shule hii iko kilomita 22 kutoka Igunga mjini. Nilikuta walimu watano (05) huku wanne wakiwa kazini mwingine akiwa na matatizo.
Idadi ya wanafunzi shuleni hapo ni zaidi ya 600. Masomo ya yanayondishwa ni kama vile Historia, Uraia, Kiswahili, Kiingereza, Haiba na michezo, Hisabati, Jiografia, Tehama nk.
Madarasa ni kuanzia la kwanza mpaka la saba. Kwa masomo hayo hapo juu walimu watafundishaje???
Maana yake ni kwamba ni kwamba, vipindi vingi havifundishwi. Watoto wengi wanakwenda kuzurura shuleni.
Nilipofanya utafiti juu ya hali ya uwezo wa watoto, bado tatizo la kutokujua kusoma na kuandika ni kubwa sana. Sasa, kama tunashindwa kupeleka walimu kusaidia watoto hao wa masikini, hao masikini tutawasaidiaje????
Kuna msaada kwa masikini zaidi ya elimu na Afya???
Tuweke kando siasa za watumishi hewa, tusaidie Taifa hili. [HASHTAG]#Ajiri[/HASHTAG] walimu
Kusoma vizuri ukiwa na waalimu wa kutosha huku umekaa chini na kukaa kwenye madawati mazur huku unaenda kuuza sura shule bila walimu lipi boraVipi kwene suala la madawati? kuna ambao bado wanakaa chini?
Dawati kwanza,mwalimu baadae....!! Nchi ya viwandaHata kama kila mwanafunzi anakaa kwenye dawati lake inasaidia nini kama hafundishwi? walimu kwanza.
Embu jitengeni na siasa tumsaidie huyu mkuu kuinua taifa letu sio lake peke yake.
Kwani wewe kwa miezi kumi ulitaka awe ameisha fanya nini???, nipe tu mfano.