Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,314
wakuu heshima kwenu,
Nimefuga kuku wa MALAWI wapo 300 ila wanakula isivyo kawaida na ndio kwanza wana miezi 4 kabla ya kufikia kutaga .nimefuga aina tatu ya kuku ikiwemo sasso na aina fulani ya israel ila crossed na kienyeji pure.
Ila hawa malawi wanakula sana sijui nifanyeje?