Kaka unajua wengi wameahamia ulikole, je unajua wangapi wamejiunga na roman Catholic kutoka ulokole?
Tuache ufala hii sio Mali ya msonga gang ni Mali ya tz
Diploma nadhani angalau uwe na principal pass moja sasa hapo sijui kama ataenda.
Ila kurudia ndio tena hata domo moja inawezekana.
Kubadi comb itambidi asome upya
Mimi wananikata mkopo wao wa chuo, ili nimalize huo mkopo lazima miaka kumi ikate, hapo bado tax, nhif, pssf na cwt, take home unakuta hata 600k haifiki hapo una familia.
Ushauri wangu dog soma kama ni bahati yako ajira utapata tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.