Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,318
- 19,989
Sasa kama hujui unapata wapi uhalali wa kusema kodi haikisanywi?Kawaulize TRA,
Ingawa kipindi Cha Magu na sasa Upikaji data ni kautaratibu walikokazoea sasa!!!
Sasa kama hujui unapata wapi uhalali wa kusema kodi haikisanywi?Kawaulize TRA,
Ingawa kipindi Cha Magu na sasa Upikaji data ni kautaratibu walikokazoea sasa!!!
JPM alipokuwa anasisitiza kupunguza utegemezi wa mikopo kwajili ya maendeleo ya nchi, Chadema walipinga sana na kusisitiza kuwa lazima tukope.
Leo mama anakopa hadi ela ya kununua chumvi mnaona hiyo haifai, sasa mmesimama kumshangilia Ruto anapoongea kauli ileile aliyoongea JPM.
Tupeni msimamo wa chadema kuhusu kukopa maana siku hazigandi maybe baadae mnawezakamata nchi je mtafanya nini katika agenda ya ukopaji?
View attachment 2471740
We unataka kujua au kubishana?Sasa kama hujui unapata wapi uhalali wa kusema kodi haikisanywi?
Ok, nenda ukaendelee kupika DATA!Kama huna taarifa huna uhalali wa kubishana na mimi
Wewe ni akili ndogo kama mlivyo misukule wengi wa jiwe
Huyo atakuwa ni msukuma sababu wasukuma walio wengi awaamin kuwa magu alikopaSijui ni mtu mjinga kiasi gani anayeamini kuwa Magufuli hakukopa
Ni rais aliyekopa zaidi ndani ya miaka 5 kuliko Kikwete na Mkapa walivyokopa kwa miaka 10
Swali alikopa akukopa je huyo mfu wa muitongo alikopa hakukopa?Mwl NYERERE said: Serikali dhalimu duniani kote hazikusanyi Kodi Kwa matajiri,
Hukimbizana na wachuuzi wa mabarabarani Kila kukicha.
Magu alishughulika na matajiri waliomiliki Uchumi Kwa kukwepa KODI.
Nakumbuka Kuna muda Vituo vya mafuta matajiri waliungana Ili kugomea EFD, alimwambia wazifunge, BAADAYE wakaufyata.
Abarikiwe huko aliko.
Kwani hii katiba iliopa inapinga ushoga?DEMOCRACY in most cases ni DEMON CRASIE au Uhuru wa KIPEPO.
CHADEMA watuambie mapema ikiwa USHOGA pia ni Democrasia na HAKI za binadamu mapema kabla hatujawaamini kuwapa DOLA!!
Alikopa kiasi gani ?Sijui ni mtu mjinga kiasi gani anayeamini kuwa Magufuli hakukopa
Ni rais aliyekopa zaidi ndani ya miaka 5 kuliko Kikwete na Mkapa walivyokopa kwa miaka 10
Akili yako kubwa huyu anae mshabikia Magufuli kuwa pokonya matajiri hala zao akili yake imekufa kama alivio kufa maguWewe ndio haujui uchumi, duniani kote matajiri wanabanwa kidiplomasia maana wameshikilia uchumi mfano umeona Amazon imeyumba kidogo tu imepunguza wafanyakazi almost elfu 20!! Sasa mtu kama MO kaajiri watu wangapi? Ukimteka unategemea hao waajiriwa wataenda wapi? Manji ukimfilisi waajiriwa wataenda wapi?
So sio Kila kitu kushabikia tu kisa mtu kanyooshwa ila angalia impact kiuchumi, no wonder ACACIA aliwavimbia ila baadae ikabidi awaruhusu tu waendelee kuchimba bila kulipa deni la Kodi maana angesema akate kamba na wao wangemwaga mboga hasara yake ingekua zaidi ya hizo Kodi.
So Kuna wakati unatumia akili kuliko nguvu, si umeona Samia mpaka TRA wamevunja rekodi lakini hatujasikia watu wametishiwa bunduki au mabomu!!
Akili zako zimeoza kama Magufuli alivio ozea kabriniChadema ni mapunguani ndio maana magufuli alikuwa anayatandika bakora na mijeledi.
Hakuna mkopo mzuri hizo ni kauli za kijinga tuKukopa ni kizuri sana kiuchumi. Hebu watanzania msome basi muache ujinga. Soma advantages of debt finance over equity finance
Hahahaaa.. Na wewe utaoza tu.Akili zako zimeoza kama Magufuli alivio ozea kabrini
Tra wamevuka kiwango au la?Kwani kipindi Cha JPM data hazikua cooked? Wakati wapinzani tunasema data za GDP na Makusanyo zimepikwa mlisema tunatumika na mabeberu.
Kingine deni likiwa kubwa linakuwa restructured yaani kama billion 10 na Mwaka mmoja umebaki unaextend miaka 5 Ili ulipe 2 B pekee kila mwaka na unalipa kidogo zaidi kwa muda mrefu. Btw Hata Mama Samia Bado analipa deni la Mkapa na JK meaning anayekuja atalipa madeni ya JPM and so on.
I'm against mikopo thou
Shule huna ndo mana hujui loloteHakuna mkopo mzuri hizo ni kauli za kijinga tu
Wakati wa magu trioni 1 na nusu ilienda wapi?Alikopa lakini
Kwahiyo siku hizi watu hawafi?Ila baada ya vilio vya Watanzania wengi Mungu akantandika bakora moja ya corona chali, na baada ya yeye kufa na vifo vikakoma
Akili zako zimejaa funza tena wachooniHakupora mkuu, Nyerere alitaka umiliki sawa wa mapato, haiwezekani wengine wawe matajiri sana, halafu wengine masikini.
Ndiposa akaitisha azimio la arusha, na kutaifisha viwanda, majumba, na fedha za mabepari,
Ukoo wenu una msimamo gani? Kwa hio huu nchi ni CDM? hivi post kama hizi huwa zinaruhusiwa vipi?JPM alipokuwa anasisitiza kupunguza utegemezi wa mikopo kwajili ya maendeleo ya nchi, Chadema walipinga sana na kusisitiza kuwa lazima tukope.
Leo mama anakopa hadi ela ya kununua chumvi mnaona hiyo haifai, sasa mmesimama kumshangilia Ruto anapoongea kauli ileile aliyoongea JPM.
Tupeni msimamo wa chadema kuhusu kukopa maana siku hazigandi maybe baadae mnawezakamata nchi je mtafanya nini katika agenda ya ukopaji?
View attachment 2471740
Imehalalisha mambo hayo kama kule Kwa Obama?Kwani hii katiba iliopa inapinga ushoga?
We mzimu wa jiwe umekuvaa sio bureChadema ni mapunguani ndio maana magufuli alikuwa anayatandika bakora na mijeledi.