Mwanafunzi aliyekuwa anasoma EGM akapata EEF anaweza kusoma diploma?

Mathias Emma

Member
May 31, 2017
33
68
Kuna mwanafunzi alikuwa anasoma hiyo comb sasa katika matokeo amepata Geography E, Economics E na mathematics F. Je anaweza kuchukua diploma na vipi kuhusu akitaka kurudia paper kwa unafuu zaidi anaweza kubadili comb nyingine mfano achukue HGK AU HGE Na kozi anayotaka kusoma ni statistics.
 
Diploma nadhani angalau uwe na principal pass moja sasa hapo sijui kama ataenda.

Ila kurudia ndio tena hata domo moja inawezekana.

Kubadi comb itambidi asome upya
 
Acha kujificha kwenye kivuli cha mwanafunzi, ni wewe mwenyewe pepa limekukamata, pole sana , bado unayo nafasi, ungali bado materials ziko kichwani mwako, jisajili ufanye upya mtihani, japo somo mbili ili uwe na uwezo wa kwenda chuo kikuu, mimi nimemaliza six mwaka 2005, nilipata DEE, enzi hizo ningeweza kusoma degree lakini nikakimbilia diploma, nimekuja kutaka degree vigezo vimebadilika, ni pointi nne kwa somo mbili, means DD, CE nakuendelea, hivyo mwaka jana nilirudia mtihani somo moja ili kupata D moja , na nilibahatika kupata c ya kiswahili, so you have the chance

Huu ni uzi wako ukiulizia matokeo,pole sana Matokeo ya kidato cha sita mwaka huu yatatoka mwezi wa ngapi
 
Ulirudia SoMo Moja pekeyake?
 
Eee somo moja tu, lengo lilikuwa nipate alama za kunipeleka university, mtihani wa kwanza nina DEE, nilirudia somo moja nikapata C, hivyo nina CE, na CD
Mimi ni kama wewe nilipata EES miaka hiyo Sasa naweza kurudia Somo Moja ila ndo itanibidi nitafute C, mara paap naipata iyo C halafu watake kuanzia D wakati ntakuwa na CE.
 
Hapana, guide book ya TCU haisemi hivyo, ni CE, DD, kwako wewe nahiyo EES, nashauri urudie masomo mawili, kupata C ukiwa uraiani ni kazi sana mkuu
 
Mkuu nilisoma PCM, hiyo S ni physics ni Bora nirudie Somo Moja(Adv Math) huku nikijua natafuta C kuliko kurudia masomo mawili na physics ikiwemo, nilitaka ni some foundations zile za open ila naona Bora nirudie Mathematics ntaipata hiyo C
 
Acha kujificha kwenye kivuli cha mwanafunzi, ni wewe mwenyewe pepa limekukamata, pole sana , bado unayo nafasi, ungali bado materials ziko kichwani mwako, jisajili ufanye upya mtihani, japo somo mbili ili uwe na uwezo wa kwenda chuo kikuu, mimi nimemaliza six mwaka 2005, nilipata DEE, enzi hizo ningeweza kusoma degree lakini nikakimbilia diploma, nimekuja kutaka degree vigezo vimebadilika, ni pointi nne kwa somo mbili, means DD, CE nakuendelea, hivyo mwaka jana nilirudia mtihani somo moja ili kupata D moja , na nilibahatika kupata c ya kiswahili, so you have the chance

Huu ni uzi wako ukiulizia matokeo,pole sana Matokeo ya kidato cha sita mwaka huu yatatoka mwezi wa ngapi
Kuuliza c kosa mkuu mbn mm ni mtumishi nafundisha pia
 
Sio yeye ila trust me kamuweka kifuani na baridi hii ya mikoa ya kusini anamshauli mtu
 
Hapana, guide book ya TCU haisemi hivyo, ni CE, DD, kwako wewe nahiyo EES, nashauri urudie masomo mawili, kupata C ukiwa uraiani ni kazi sana mkuu
Aanze certificate then diploma then Degree,kurudia ni kucheza na muda in fact aanze na biginer kwa kozi yoyote
 
KUna mwanafunzi alikuwa anasoma hiyo comb sasa katika matokeo amepata geography E ,Economics E na mathematics F je anaweza kuchkua diploma na VIP kuhus akitaka kurudia paper kwa unafuu zaid anaweza kubadili comb nyingine mfano achukue HGK AU HGE Na kozi anayotaka kusoma ni statistics
Mwambie akasome diploma!! Yaani jinsi matokeo yalivyotoka mazuri hivo shule zote Tz yeye ndio kafeli hivo!! Huyo atakuwa wa mwisho kishule
 
Huyu ni kilaza hata akirudia somo atakula ngebe kama kawaida ,kama school candidate kapata hayo matokeo nauhakika Private candidate hatoweza
 
Huyo mwanafunzi ni kilaza kama ni mwanangu nachoma moto kabisa hana faida
Hapana mkuu, usiseme hivyo maana wewe bado ni mzazi na nafasi yako haibadiliki kua mzazi mwenye upendo na huruma kwa mwanao
 
Back
Top Bottom