Recent content by faemba

  1. faemba

    JamiiForums Tanzania ACACIA waweka ushahidi hadharani kwa kampuni yao kusajiliwa nchini

    hahahaaaaaa hapa kweli kwa mchezo huu tunapigwa kijinga na hawa ccm wala hakuna mwingine wa kumlaumu
  2. faemba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hatimaye "Chato International Airport" kuzinduliwa rasmi mwezi Aprili

    hahahaaaahaaaaaaaaaaaa hii kweli ni hatari kibwa sana maana watu wanafanya vitu bila kiangalia kesho itakuaje
  3. faemba

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    jamani hivi hii tanzania tunaelekea wapi? maana kilasiku vitu vya kijinga haviishi yaani mtu unakamatwa bila kosa?
  4. faemba

    JamiiForums Tanzania Ajira 70000 serikali zaanikwa ,zitaanza kutoka mwezi February 2017

    ngoja tusubiri tuone
  5. faemba

    JamiiForums Tanzania Kinachofanya ajira mpya za serikali zisitolewe ni hiki

    Eti nchi ya viwanda hahahahaaaa bora mseme nchi ya mazombie
  6. faemba

    JamiiForums Tanzania Manchester city yasherekea ushirikiano wakimataifa na tecno mobile

    mie mwenyewe natumia tecno phantom 6+ aisee ni bonge la simu yaani hata hayo mabomu yenu ya kulipuka ya samsung sina hata muda nayo maana naona kama matakataka kwa sasa maana nimetumia hayo masimu yenu na kwa sasa nimebadili mfumo
  7. faemba

    JamiiForums Tanzania Haki Za Binadamu Wamgeukia RC Makonda

    makonda anachokifanya sijui anamatatuzo gani kichwani? hakika imeniuma sana
  8. faemba

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Profesa Safari yuko wapi?

    kweli nyie vijana wa lumumba ni vilaza wa kiwango cha lami
  9. faemba

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Profesa Safari yuko wapi?

    nenda kwake ukamtafute
  10. faemba

    JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    ok thanks lets try
  11. faemba

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    kama umebalance dish vizuri ingiza 12016 v 29950 12054 v 29950 hapo pia utapata Chanel kama 34
  12. faemba

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    anzeni maandalizi ya mawindo mapya maana continental wanaondoka sasa
  13. faemba

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

    Huu sasa ni msala
Back
Top Bottom