Anazijua haki zake tu...za binadam hazijui.Nini faida ya wewe kuwepo duniani iwapo hujui umuhimu wa haki za binadamu
La adhimAstaghafir
Dkt. Helen Kijo-Bisimba, mama yangu utapata presha bure na hawa watu. Siku zote kiongozi akishalewa madaraka hekima na busara hukimbia na hivyo hujikuta akiongozwa na mihemko.Huitaji kudhalilisha watu ili uonekane mtendaji. lugha ya staha inatosha kabisa kufanya watu wakuheshimu hata bila kuwalazimisha.Lakini jambo la kushangaza wakati ndugu huyo anawadhalilisha hao wafanyakazi kuna raia waanashangilia.Kila ninapoisikia kauli alizotoa huyo mtu nasikia kuudhika kiasi ambacho najiuliza,je kuwa kiongozi ni lazima utumie mabavu?MY LORD FORGIVE US!
mbona watumishi tusipotekeleza majukumu yetu haki za bidamu hawasimami?? au wananchi wanaotumikia hawana haki za kibinadamu kama Wao???
tobaa!! wanataka na wao? hivi yule mtz aliopigwa mpk kufa na yule mchina haki za binadamu waliingilia kati..?
Hao haki za binaadamu waende bilicans kwa Mbowe wakaone wafanyakazi wanvyoteseka bila mishahara mwezi wa nne (ripoti imo humu JF).
Achana na Makonda, wao walikuwa wanaona raha huyo mtoto kudhulumiwa urithi wake? Mbona wasimtetee aliodhulumiwa haki yake na hao hao watu ardhi?
nafahamu nachojaribu kuangalia hapa ni nguvu ya lile na hili la makonda nadhani utakuwa umeshanipataWenye mamlaka ya kulinda raia ni serikali kabla hujauliza haki za binadamu ilifanya nini ,ungeuliza serikali yenye jeshi ,polisi na mahakama ilifanya nini ,usitake kuwapuuza haki za binadamu kwa uzembe wa serikali idiot.
Kwa upande wangu sijaona kosa la mheshimiwa makonda acha awanyooshe walizoea sana hata ilikuwa ukifika ktka ofisi zao wanakuangalia kama kinyago kwa sasa hayo mambo acha yakomeshwe. Makonda oyeeeeeee
Hawa wanapoteza muda wao bure, Mungu hanapakushitakiwa.
Kwa hiyo kila siku yeye ni wakuteleza tu sjui sheria inasema nini kwa mtu mzalilishaji,nazani ni vyema ss kuitazama hiyo sheria, mungu ni mmoja tu na wala hakuna MUNGU mwingine zaidi yake ss kiburi humdanganya mpumbavu na kuzani yu mwanzo pia mwishoNa yeye kwa kutokuwajibika kwake achukuliwe hatua gani huyo Afisa ardhi
I Hope Makonda aliteleza tu katika kuongea