Recent content by fadhiliq87

  1. F

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kujichanganya ili kuficha udhaifu, Lowassa aumbuka juu ya uwezo wa kufanya kampeni

    mleta mada unachotakiwa kuelewa ni kwamba ccm imechokwa na sio vinginevyo..!
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tukikosea 2015 tutajuta milele! Nchi itazama

    ni bora iwe hivyo kuliko kuiacha ccm iendelee kunyanyasa raia,,kihalali au hata kiharam ccm iondoke... tumejuta miaka 54 uje ututishie miaka 5?..?
  3. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inarudia kosa walilolifanya CUF chaguzi zilizopita

    mkutano umefanyika Arusha kesho yake Mwanza hayo mabasi yamesafiri saa ngapi kutoka Arusha na kuwahi mkutano ulofanyika Mwanza mchana?..?...uongo mwingne jipange kwanza..!
  4. F

    JamiiForums Tanzania Magufuli usikubali kupiga ngoma tena

    Kipawa kinaonekana baada ya kupachikwa kwenye uwania urais?..? acha aambiwe..!
  5. F

    JamiiForums Tanzania Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    NJAA mbaya sana, inafikia hatua mtu mzima anakosa kufikir kwa kutumia hata akili za kuazima.. Polepole umejiaibisha sana,,
  6. F

    JamiiForums Tanzania Siku naziona kama zinajirudia, How can you explain this?

    hata mimi huwa inanitokea,, ila cjui chanzo ni nn... na ni kwann
  7. F

    JamiiForums Tanzania Arfi kuondoka CCM

    njaa ni kiboko... jamaa anahaha kutafta pa kuendeleza maisha... duh, hatar
  8. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Pinda kasusa ofisi

    hata mm ningesusa,, inakuaje wazir mkuu wa serikal inayomaliza muda wake nakosa kuingia tano bora?..?..
  9. F

    JamiiForums Tanzania Lembeli: Ukitaka kuona 'nyeti' za kuku subiri apulizwe na Upepo

    daah km ni ujinga huu wa kwako umekuzidi nguvu... tumia hata akili za kukopa basi
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Wema tishio

    wp panya road?... mtusaidie watu wamekosa kazi
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu wa Magufuli vs wa Slaa!

    hii nayo ni mada..... waTz kaz tunayo
  12. F

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watano wa tukio la Stakishari watiwa mbaroni

    picha za majambaz ziko wp?..hii km sio filam... anyway km kweli hongeren polis
  13. F

    JamiiForums Tanzania Despite MTVMAMA2015 Awards, Kiba is still more talented than Chibu

    hizi stress zingine bhn daaah,, jamaa usingz umemkosa kaamua kukurupuka na uzi mchosho eva seen,,.... chibu kawakamata pabaya
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Polisi na raia Stakishari, Polisi fanyeni haya kuwapata wauaji

    damu ya Mwangosi,, pamoja na raia ambao wameuwawa kwa mkono wa polisi itaendelea kuwatengeneza polisi....
Back
Top Bottom