Tukikosea 2015 tutajuta milele! Nchi itazama

Tukikosea 2015 tutajuta milele! Nchi itazama

Kwa jinsi mgao wa umeme unaoendelea sasa unavyonitesa, sina hamu na ccm. Mimi kuanzia udiwani ubunge hadi uraisi ni kwa UKAWA
 
Nayataka sana mabadiliko hata leo CCM iondoke lakini siyo kwa utaratibu huu ambao unayemtoa madarakani ana nafuu kuliko unayetarajia kumpa madaraka! HAPANA! Ni kuiweka Nchi REHANI
 
nifah kuirudisha CCM madarakani, ni sawa na kujichimbia kaburi na kufukiwa ungali bado hai...! Naichukia sana CCM
KWELI KABISA.huu sio wakati wa kuichagua ccm.kuichagua ccm ni kulaani maisha yako na uzao wako.epuka laana.SASA ni wakati wa mageuzi.chagua LOWASA na wabunge wa vyama viundavyo UKAWA.hizo ndizo baraka.
 
Last edited by a moderator:
Kura yangu ni kwa ajili ya kuiadhibu ccm kisawasawa bado naendelea kutafuta kura za kuizika kisawasawa nikimaanisha kura za kila ninaye juana naye na nisiye mjua Kimuelimisha ccm ilichotufanyia miaka 54 na kwa nini tiipumzishe na nashukuru vijana na wazee wananielewa nao pia wanaitaji mabadiliko mkuu akikisha na wewe una kura za ziada za kuiadhibu ccm kwa watu wanaokuzunguka
 
KWELI KABISA.huu sio wakati wa kuichagua ccm.kuichagua ccm ni kulaani maisha yako na uzao wako.epuka laana.SASA ni wakati wa mageuzi.chagua LOWASA na wabunge wa vyama viundavyo UKAWA.hizo ndizo baraka.

Heri yako unayetaka kugeuzwa.Sisi tunataka maendeleo.Tinga tinga @ work.CCM mbele kwa mbeleeee
 
Uloi nga mâché68;13708321 said:
Hakuna jipya litakaloletwa na UKAWA. Miaka mitano watakuwa bize kuunda Serikali ya MAJIMBO na kugawana Vyeo. Tutajuta kuifahamu UKAWA. Waliochangia Kampeni nao watakuwa bize kujilipa pesa zao! ACHENI MCHEZO VIJANA.Kuichukia CCM ni sawa na.kumkataa Baba yako Mzazi kwa kuwa mlevi na kisha.kumchagua jirani awe baba yako.

Ubongo mdogo ndugu
 
Mpaka bunge linavunjwa lowasa naye alikuwa kundi hilohilo. Kashiriki kuwaumiza watanzania, hastahili kuchaguliwa.

Watanzania tunaitaji mabadiliko tu, naomba nkupe elimu hii kipindi Edo yuko ccm ili kuwa ni lazma afuate taratibu za ccm na kwakua ametubu dhambi na kujiunga na ukawa so analazmika kufuata matakwa ya ukawa upo hapo?? Msikalili maisha
 
Urais CCM ila ubunge upinzani, sipendi ccm ila mgombea wake ni makini.
 
Mimi nasubiri October tu nikate kiu yangu kwa kuchagua kiongozi wangu makini Lowassa.
Baada ya hapo nitakuwa na amani huku nikiwaombea CCM Mungu awape moyo wa ujasiri waweze kutuachia nchi yetu salama.

Kha!! Kama tulikuwa wote nimeandaa sherehe ya kushangilia anguko la ccm angalau ritz atarudisha bandari yetu mikoni mwa watanzania kutoka home shopingi , ujuma za barabara zitaisha tren
 
Kuichagua tena ccm ni sawa na kukubali kutembea juu ya choo kibovu chenye shimo refu sana huku wewe ukirukaruka juu ya sakafu yake wakati kikiwa kimeshaanza kumomonyoka
 
Watanzania tunaitaji mabadiliko tu, naomba nkupe elimu hii kipindi Edo yuko ccm ili kuwa ni lazma afuate taratibu za ccm na kwakua ametubu dhambi na kujiunga na ukawa so analazmika kufuata matakwa ya ukawa upo hapo?? Msikalili maisha
Wape nyumbu wenzako.
 
Uloi nga mâché68;13708321 said:
Hakuna jipya litakaloletwa na UKAWA. Miaka mitano watakuwa bize kuunda Serikali ya MAJIMBO na kugawana Vyeo. Tutajuta kuifahamu UKAWA. Waliochangia Kampeni nao watakuwa bize kujilipa pesa zao! ACHENI MCHEZO VIJANA.Kuichukia CCM ni sawa na.kumkataa Baba yako Mzazi kwa kuwa mlevi na kisha.kumchagua jirani awe baba yako.
ni bora iwe hivyo kuliko kuiacha ccm iendelee kunyanyasa raia,,kihalali au hata kiharam ccm iondoke... tumejuta miaka 54 uje ututishie miaka 5?..?
 
ccm ameshndwa kula na kipofu,,,
ameshndwa kutuboreshea elimu,afya,miundo mbinu,,,,,
ifike pahala tuseme imetosha,,, UKAWA JUU
 
Kura yangu ni kwa ajili ya kuiadhibu ccm kisawasawa bado naendelea kutafuta kura za kuizika kisawasawa nikimaanisha kura za kila ninaye juana naye na nisiye mjua Kimuelimisha ccm ilichotufanyia miaka 54 na kwa nini tiipumzishe na nashukuru vijana na wazee wananielewa nao pia wanaitaji mabadiliko mkuu akikisha na wewe una kura za ziada za kuiadhibu ccm kwa watu wanaokuzunguka

tupo pamoja broo,,,
 
Heri yako unayetaka kugeuzwa.Sisi tunataka maendeleo.Tinga tinga @ work.CCM mbele kwa mbeleeee

Akili finyu ni matatizo.hako kamchezo kako ka kugeuzwa unafikiri kila mtu ana interest.ndio sababu kama zuzu unashabikia mambo yaliyoshindikana.hata jk aliaminiwa tena kuliko hicho ukiitacho tingatinga matokeo yake ni wizi wa kutisha wa rasilimali za nchi hii chini ya uongozi wake.sisi tumeona na tumechoka.wanaotaka kulala mashimoni kama wewe ni hiari yako.uzezeta hauishi ghafla.
 
Back
Top Bottom