Recent content by fadeless

  1. F

    Kwanini Patrick Rutabanzibwa (katibu mkuu wa ardhi) anaenda jela?

    Ukiwasikiliza watumishi pale Wizara ya Ardhi wanalalamika kwamba jamaa kabana nyanja zote za ufisadi! Jamaa inaonekana ni muadilifu sana
  2. F

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    We jiulize hivi ni kwa nini Viti Maalumu wengi ni wanawake ambao hawajaolewa?
  3. F

    Mbowe awashangaa watanzania... Uwanja wa Ndege Kilimanjaro unakodishwa kwa Dola 1,000 kwa MWAKA!

    Aliyeturoga kashakufa so usitegemee tutazzinduka labda tutegue mtego aliouweka!
  4. F

    Mhe. Godbless Lema alichana Jeshi la Polisi

    We u,emerogwa au?
  5. F

    BUNGE lathibitisha kujiuzulu kwa Rostam

    No comment anayeendelea kusofu serikali aseme ukweli kama huyu mchangiaji!
  6. F

    Kashfa ya Jairo: Malipo ya zaidi Billioni 1 kusaidia Bajeti ipitishwe - Adai MP Beatrice Shelukindo

    asante sana mkuu kwa hii kitu,ni nzuri sana. Unaweza tupatia na ile ya Pinda aliyosema jioni kipindi anaahirisha kikao?
  7. F

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Hii inawezekana kabisa,dili la kuuza Dowans limetiki,kakamata Billion 90,hata ingekuwa shetani angejiuzulu! Ukijumuisha na pesa za mauzo ya Dowans lazima anapesa kama akina Beckam,huku akijua mbwa wetu wote koko hana wasiwasi wa maisha tena!
  8. F

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Jamaaa anadai anaachia na ubunge sijui kama inawezekana kwa akina magamba,hapa kuna mchezo mchafu unapangwa kuwapoteza wadanganyika! Naamini hivi coz hii siyo kawaida kwa mtu kuachia ubunge tena akitoka chama cha magamba,hii haiwezekani!
  9. F

    Mchina bwana! Ona huyu dada alivyoichakachua ekibinda nkoi

    Nyie kinondoni makaburini mlikuwa mnatafuta nini?
  10. F

    Utajiri wa Ridhwani wamweka pabaya Kikwete

    Acha kufanya watu watoto,we kama kibaraka wa EL,nenda huko huko hapa unatupotezea muda
  11. F

    Real madrid wajinga........

    jamaaa wanastahili pongezi kuifunga barca sio mchezo!
  12. F

    Natafuta mchumba/mume

    Mume bora huletwa na Mungu sijui kama umemuomba Mungu ndio akakuambia mumeo lazima awe na hivyo vigezo! Nijuze tafadhali
  13. F

    CTI Kutumika kukodisha Majenereta ya DOWANS: Fikra Pevu

    Kwani CTI hii nayoijua si imesajiliwa kama shirikisho na sio kampuni sasa wana nguvu kisheria ya kufanya biashara zaidi ya ile iliyoainishwa kwenye Memo of Association yao,au na kuzalisha umeme ipo humo? Naomba nipate ufafanuzi tafadhari!
  14. F

    Nimepewa namba ya simu na Demu

    Kuwa mkweli mkuu haiwezekani ukasalimiana na mtu tu kisha akakuambia chukua number yangu bila sababu,labda kama kuna issue nyingine mliongea,otherwise acha kutudanganya hamna mtoto hapa!
  15. F

    Mabaki ya Mabomi ya Gongo la Mboto mpaka leo!

    Leo nilikuwa nasikiliza radio nikasikia msaidizi wa mkuu wa wilaya akisema kuwa wameunda timu ya vijana kufuatilia mabaki ya mabomu,halafu akasisitiza kuwa ana taarifa ya mabomu mawili kule kimara,sasa kama anafahamu kwa nini wasiende kuyachukua? Just imagine bomu lipo nyumbani kwako kwa miezi...
Back
Top Bottom