Ngumu sana,mwanaume anayekufaa huku hawezi kupatikana kirahisi, hivi kwenye nyumba za ibada umekosa,shuleni pia,kazini,kwenye daladala,mtaani kwako pia umekosa! Unategemea kumpata mwnaume wa kwenye mtandao kweli utatoboa? Huku siko kabisa labda ue mcharuko, vijana wa leo wamekosa malezi bora elewa mjini kila mtu kaja kivyake! Kuna aliyeua mzazi kakimbilia mjini je utamweza?