Ikulu haijakanusha, bali imekuja na hoja za matusi. Kwa mfano, Ikulu inasema, " Isitoshe baadhi ya watu wanaotajwa katika habari hiyo kuwa walipata kuwa ama wako Ikulu kwa sasa kwa sababu ya kulindwa na Luhanjo, walikuwa Ikulu, wengine miaka mingi, kabla ya Luhanjo hajawa Katibu Mkuu Kiongozi...