Vipi kuhusu Mbowe kutumia pesa vibaya, ambapo CHADEMA wanajinadi ni chama mbadala?.Tukuwapa nchi si ndo yaleyale?, Tuangalie upande wapili pia. Maybe Wangwe, Chacha was right.
kaka nilisema labda Wangwe yupo right, nikimaanisha CHADEMA hawana budi kufuata aliyokuwa aki advocate....Hata Mwalim nyerere amefariki lakini si vibaya kuenzi aliyokuwa aki advocate. Chadema imeanza kuwa a dissappointing one.Labda uongelee mambo mengine lakini usimhusishe marehemu....mwache apumzike. Hata kama wangwe alikuwa right so what? he's dead already and we need to get things moving.
Nimekuwa nikisema mara kwa mara kwamba vijana muanzishe chama chenu ndo mtakabana wenyewe lakini haya mambo ya kujiunga na vyama vya wengine alafu mnataka madaraka kwa haraka kuliko walioanzisha vyama vyao hamtafika.
Vipi kuhusu Mbowe kutumia pesa vibaya, ambapo CHADEMA wanajinadi ni chama mbadala?.Tukuwapa nchi si ndo yaleyale?, Tuangalie upande wapili pia. Maybe Wangwe, Chacha was right.
sasa kama Mwenyekiti sio signatory wa hundi mnataka nani awe signatory ? mimi sioni kosa, maana hundi ili iwe nauwezo wakulipa ni lazima iwe na masignatory wawili, hivyo mbowe hawezi kujichotea pesa, kirahisi.
kunaweza kuwa na mapungufu kaTika matumizi ya pesa, lakini anaetoa huu ujumbe ni mtu ambae amekimbia baada ya kushindwa kukubalika katika harakati za ukombozi .
HAYO NI MANENO Mneno yaulongo, CHADEMA ni chama makini kuliko CCM, KINA NIDHAMU NA MAADILI, NDIO MAANA HAWAONEANI HAYA KUADHIBIANA KAMA KUNA UPUPU na madudu mengine, mafisadi bado wanatamani kuona CHADEMA ikifa nakusambaratika, hii ni taasisi yenye kila sababu yakupigiwa chapuo na kila Chama, kweli mafisadi mtasubiri kuona hiki chama kinaporomoka mpaka mwisho CHADEMA itaingia iikulu ikiwaacha nyinyi vibaraka wa mafisadi ngomeni Ukonga , keko na Segerea. Amini nawaambia.kaka nilisema labda Wangwe yupo right, nikimaanisha CHADEMA hawana budi kufuata aliyokuwa aki advocate....Hata Mwalim nyerere amefariki lakini si vibaya kuenzi aliyokuwa aki advocate. Chadema imeanza kuwa a dissappointing one.
kuna mambo mawili yakuangalia juu ya swala hili, kuna kanuni ama sheria ndani ya Chama cha siasa, inaweza kutoa muongozo wa nani awe mtia saini, pia mtoa ruzuku hiyo , serikali inaweza kuwa na sheria itakayotoa mwongozo maridhawa wa nani awe mtia saini ......ila naamini Muhazini wa chama, katibu na mwenyekiti wanaweza kua ni watia sign, sasa kama mtoa pesa huna kanuni ya kuminitor pesa zako, lazima kutakua na vurugu.Thanks kwa kuiweka vizuri, lakini je! nani atachagua hao signatories?
ni kwamba , hakuna haja ya kuogopa, ni harakati za kisiasa Tz zinzvyotawaliwa na wanasiasa mafisadi, huku wakitumi vyombo vyao vya habari kuhAribu taswira ya Chadema mbele ya umma, wanapandikiza ulongo, kila kukicha, ninachoona mimi CHADEMA NI CHAMA makini kuliko vyote TZ, tuseme kweli angalia mipasuko inavyoitafuna CCM, VURUGU TUPU, HAWAAMINIANI WENYEWE KWA WENYEWE, WANAFIKIA HATUA YAKUOGOPANA,rejea kauli ya Kikwete juu ya hali ya mambo ndani ya CCM.hapa tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu tutaona na kusikia mengi sana ni jinsi ya kusoma nyakati tu
ni kwamba , hakuna haja ya kuogopa, ni harakati za kisiasa Tz zinzvyotawaliwa na wanasiasa mafisadi, huku wakitumi vyombo vyao vya habari kuhAribu taswira ya Chadema mbele ya umma, wanapandikiza ulongo, kila kukicha, ninachoona mimi CHADEMA NI CHAMA makini kuliko vyote TZ, tuseme kweli angalia mipasuko inavyoitafuna CCM, VURUGU TUPU, HAWAAMINIANI WENYEWE KWA WENYEWE, WANAFIKIA HATUA YAKUOGOPANA,rejea kauli ya Kikwete juu ya hali ya mambo ndani ya CCM.
CHADEMA inapambana na halii hii, inajenga nidhamu maridhwa, hakuna double standard kwenye utoaji wa haki ndani ya Chama, wanaadhibiana kutoka top leaders hadi hawa wadogodogo.....hivyo ndivyo chama kinavyojengwa....hatutaki hali iwe kama ya kina sophia Simba na CCM yao
AAAH Watakuja CCM maana hilo ndilo jumba la migogoro na vurugu zote, nende Juju usitazame nyuma, wewe ni sisimizi tu.Karibu CCM Ndanda JUJU.......
Hivi mkuu hatujasikia mara kadhaa kuwa a mans right deeds live forever?Labda uongelee mambo mengine lakini usimhusishe marehemu....mwache apumzike. Hata kama wangwe alikuwa right so what? he's dead already and we need to get things moving.
Gwakisa, Wangwe kuna mambo alikua mkweli lakini anamambo mengi ya hovyo aliyoyafanya chamani hata kustahili kufutiwa uanachama wake, kwa Wangwe mimi nimtakie pumziko la milele .Hivi mkuu hatujasikia mara kadhaa kuwa a mans right deeds live forever?
.,wewe ni sisimizi tu.
.
Sisimizi ni mtu aliyekuwa na cheo angalau kama cha yule aliyefulia, huyu saizi yake ni kiroboto tuu.