Recent content by F.P.M

  1. F

    Baada ya Mandela kukutna na Nyerere.(PICHA MPYA)

    KILA MTU NA IMANI YAKE, MIMI NAAMINI KATIKA KRISTO YESU KUPITIA MSALABA ALITUKOMBOA. HAKUWA NA DHAMBI ILA ALITUNDIKWA MSALABANI. ALIPOKUWA MSALABANI KUNA JAMBAZI MMOJA ALITUBU NA NDANI YA DAKIKA MOJA ALISAMEHEWA DHAMBI ZAKE. HATA HUYO NYERERE ALIKUWA MKIRISTO ANAE AMINI KRISTO YESU. KUMBUKA...
  2. F

    Tukio Kisesa limethibitisha mwenye pesa ndo huthaminiwa

    Umesema vizuri kaka kwamba "Mungu akukemee"! usimlaani mtu wala kumtakia mabaya mbaya wako. Imeandikwa watakieni mema adui zenu na kuwaombea. unaweza ona huyo kijana na Mabina wamekufa vibaya kumbe wametubu na Bwana amewasamehe na kuwapokea. Mwisho jamani enyi wenye nguvu kwa nini hamjifunzi...
  3. F

    Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG

    Huu ushauri mzuri sana kaka, pia AMWOMBE MUNGU WAKE MSAMAHA, Mungu akimsamehe katika ulimwengu huu hakuna wa kuweza kumchukia tena.
  4. F

    Kwa nini wanawake wazuri sana kwa umbo wengi wao hawaolewi??

    Wengi wao wanalinga sana, kiburi kimewajaa, ila kumbukeni Shetani kwa uzuri wake alipata kiburi akashushwa chini. Hivyo wanawake wengi na hasa wazuri kwa nje hujaa kiburi na hushushwa chini kwa kupewa mimba na kuachwa.
  5. F

    Wanawake wanavutiwa na nini zaidi kwa wanaume

    Mke mwema hutoka kwa Mungu tu, mme mwema nae hutoka kwa Mungu tu, zaidi ya hapo ni maumivu ndugu zangu.
  6. F

    Rescue operation:Zitto kuukwaa uwaziri

    kazi kweli kweli, ila UKWELI utajulikana tu hata ukichelewa kiasi gani.
  7. F

    Namna ya kuomba

    Mtumishi wa MUNGU Baba ubarikiwe sana, tuna neema nyingi sana katika ulimwengu wa roho bado hatujaziomba haya sasa kazi kwetu. Endelea kutufundisha neno la MUNGU zaidi na zaidi.
  8. F

    Pongezi zangu kwako dr. Slaa,viongozi wengine muige

    Usipolindwa na Mungu, hata ulindwe na nani haitawezekana!!! Kuna rais anaelindwa kuliko mtu yeyote duniani kuliko rais wa USA? Lakini miaka ya sitini mwanzoni aliuawa. Dr Slaa anaamini ulinzi wa Mungu, nasi tunamwomba Mungu Baba akutumie Malaika walinzi wanne wawe nawe siku zote za maisha yako...
  9. F

    Ahsante! Ahsante! Ahsante! Mwaaah... Hahahaaa... Jamani hadi raha kwa kweli, mweh! Sio mchezo

    we kipi hapo cha kukufurahisha? kama kweli wampenda na unataka Furaha yako ikamilike; fanya toba kwa hicho kitendo mlichofanya na kumwoa.
  10. F

    Kuolewa/ kuoa bila bikira ni mpango wa shetani?

    Mwisho wa YOTE hakuna LAANA yeyote itakayo kuwa katika familia hiyo na kizazi chao. Wataishi kwa amani na upendo mkubwa sana.
  11. F

    Msaada wa mawazo na ushauri, please only serious people here

    umesema vema ndugu, huyo mpige Injili na kumwombea tena maombi ya kuatamia. Mungu ni mwema atamfungua ktk hivyo vifungo vya mwovu vya pombe. Kumwacha hiyo sio tiba nzuri kabisa na kamwe isitumike. Imeandikwa ''ndoa na iheshimiwe na watu wote'', pia imeandikwa ''alilo liunganisha Mungu mwanadamu...
  12. F

    Nampenda sana girlfriend wangu ila naogopa kumuomba tendo la ndoa kwa kuhofia kuachwa

    nenda nae kanisani kwenu au kwake mkamwone kiongozi wenu wa kiroho atawasaidia awe wako wa milele.
  13. F

    Natafuta rafiki wa kiume

    Kweli dada kabla mtu hajawa mke/mume inabidi muwe marafiki kwanza, kisha uchumba na hatimae ndoa. Mkishibana zaidi na kila mmoja kuona mwenzake anamfaa kuwa nae siku zote ndio mnaingia step ya UCHUMBA, ikikomaa na kupevuka mnakuwa wa MAISHA yaani ndoa.
Back
Top Bottom