Faithcolly
Member
- May 30, 2013
- 31
- 10
- Thread starter
- #41
Sina ukali hata kidogo
Hahahshh so kihivyo huwezi nipangia kuwa we ndio unanifaa lol
Sina ukali hata kidogo
Natafuta rafiki wa kiume umri wa miaka 37 - 45 awe mfanyakazi au biashara mcha mungu mkristo mweusi mrefu kiasi miaka yangu 37 mjasilia Mali ukitaka kuniona nifuate Facebook search for faithcolly utsniona mengi tutaongea tukikubaliana nataka rafiki anayejitambua kwa umri huo name imani atakuwa Ametulia kifkra .if u want to be honest be true!
Itanona name non wkt haina mafuta?
matusi ya nini...? that shows how SUPER DESPERATE you are.Uxiusemee moyo wangu kuwa na marafiki wengi we kunakupa shida mbona unakiherehere name maisha ya wenzako niwe desperate au nisiwe unawashwa na mini mbona we na yako umeyakalia
matusi ya nini...? that shows how SUPER DESPERATE you are.
Natafuta rafiki wa kiume umri wa miaka 37 - 45 awe mfanyakazi au biashara mcha mungu mkristo mweusi mrefu kiasi miaka yangu 37 mjasilia Mali ukitaka kuniona nifuate Facebook search for faithcolly utsniona mengi tutaongea tukikubaliana nataka rafiki anayejitambua kwa umri huo name imani atakuwa Ametulia kifkra .if u want to be honest be true!
signs of desperation.............by hook and crook.......Punguza ukali basi mama. Twende mdogo mdogo.
Kweli dada kabla mtu hajawa mke/mume inabidi muwe marafiki kwanza, kisha uchumba na hatimae ndoa. Mkishibana zaidi na kila mmoja kuona mwenzake anamfaa kuwa nae siku zote ndio mnaingia step ya UCHUMBA, ikikomaa na kupevuka mnakuwa wa MAISHA yaani ndoa.Kusoma umesoma najibu unalo kaka
unataka mcha mungu,na wewe inabidi uwe mcha mungu,,,,,,,ila kwa majibu uliyonijibu hata kama ningekuwa wrong hukupaswa kunijibu hivyo.i doubt kwa majibu yako kama wewe ni mcha mungu.........Haikuhusu sina matusi ndo ukweli huo niwe nao laki au miliion ni wangu
Nadhani umenielewa thanxKweli dada kabla mtu hajawa mke/mume inabidi muwe marafiki kwanza, kisha uchumba na hatimae ndoa. Mkishibana zaidi na kila mmoja kuona mwenzake anamfaa kuwa nae siku zote ndio mnaingia step ya UCHUMBA, ikikomaa na kupevuka mnakuwa wa MAISHA yaani ndoa.
Ndio tatizo la kujaji kitabu kwa cover lake sina ugomvi nawe na huwezi kujaji imani ya mtu kwa Kuwa wewe so mungu ni binadamu ulie na mapungufu yawezekana kuliko mm!unataka mcha mungu,na wewe inabidi uwe mcha mungu,,,,,,,ila kwa majibu uliyonijibu hata kama ningekuwa wrong hukupaswa kunijibu hivyo.i doubt kwa majibu yako kama wewe ni mcha mungu.........
signs of desperation.............by hook and crook.......
haya basi badilisha status yako huko fb,maana huku unatafuta rafiki wa kiume ambaye baadae aje kuwa mpenzi lakini status bado inasoma in a relationship...Ndio tatizo la kujaji kitabu kwa cover lake sina ugomvi nawe na huwezi kujaji imani ya mtu kwa Kuwa wewe so mungu ni binadamu ulie na mapungufu yawezekana kuliko mm!
haya basi badilisha status yako huko fb,maana huku unatafuta rafiki wa kiume ambaye baadae aje kuwa mpenzi lakini status bado inasoma in a relationship...