Recent content by ezedabext

  1. ezedabext

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nime-reset iPhone network imegoma kurudi

    Msaada kwa anaejua ili natumia iphone 7 nime reset net work ya internet haitaki kurud nifanyeje
  2. ezedabext

    JamiiForums Tanzania Rothschild Ndiyo Familia Tajiri Zaidi Duniani

    Hapo ndipo pabaya
  3. ezedabext

    JamiiForums Tanzania Unapompinga Rais Magufuli, unapinga yafuatayo

    Flyover Kila kona? ushabiki wa kisiasa huu
  4. ezedabext

    JamiiForums Tanzania Kwanini hukumu ya Lulu haikufanyika kipindi ana umri chini ya miaka 18 imekuja kufanyika akiwa na umri wa utu uzima?

    Hivi Lulu wakati anakuwa na mahusiano na Kanumba si alikua ana umri chini ya miaka kumi na nane, sasa kwanini hukumu imekuja kufanyika wakati tayari ameshakuwa na umri wa utu uzima kwanini isifanyike kipindi kilekile na hukumu itolewe kulingana na umri wake?
  5. ezedabext

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali isipokuwa kuuza bar, naomba nisaidieni

    Bar sio halali?
  6. ezedabext

    JamiiForums Tanzania MBEYA: Huu ubahili wa kutokuwasha taa za nje ya nyumba wakati wa usiku mtaacha lini?

    Eeeh umeshatokea Sana ila watu wa huku hawasikiii
  7. ezedabext

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwashitaki PPF, naombeni mawazo na muongozo mzuri.

    Story ya kutunga hyo
  8. ezedabext

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isitoe faini kubwa na kuacha kufungia Magazeti?

    Hombo#$@$$# chombo
  9. ezedabext

    JamiiForums Tanzania Tarehe kama ya leo miaka miwili iliyopita watanzania tulifanya maamuzi ya kusimika utawala uliopo

    Leo ndo tarehe ulipiga kura ya Maisha haya ulio nayo
  10. ezedabext

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tuliambiwa hostel za UDSM zimejengwa kwa bil 10 ila ripoti ya CAG inasema zimejengwa kwa bil 54. Uwongo! Uwongo!

    Chips zinaiva kitanda kinachochongwa shule huwa nasinzia sna jerusalem abubaki mzur
  11. ezedabext

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kweli: Niliishi kuzimu siku saba

    Endelea kuishi
  12. ezedabext

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mke wa mtu ananitafutia matatizo!

    Hadith nzuri sna inaendelea lini
Back
Top Bottom