Recent content by Eze B

  1. Eze B

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kapewa mimba na Mjomba wake

    kaka wa mjomba wake ndo nani sasa? mbona uongo umezidi kipimo?
  2. Eze B

    JamiiForums Tanzania Hili sharti linaiweka rehani ndoa yangu

    jiamin mkuu, utakapo pima ndo utachagua maisha ya kuishi pengne unahofu ya kuambukizwa kumbe bado mzima,! pia uachane na michepuko
  3. Eze B

    JamiiForums Tanzania Hili sharti linaiweka rehani ndoa yangu

    kapime ww
  4. Eze B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaohonga hawana uwezo wa kushawishi mwanamke

    mwanaume huwa hahongi bali anatoa.matumizi kwa yule anayempenda, na yule anayeonekana kuhonga huwa anauziwa(anafanya biashara) mwanamke. sio tu wanaume ndo wanahonga hata wanawake wapo kibao wanao honga
  5. Eze B

  6. Eze B

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hataki kufanya tendo la ndoa

    pengne hana hisia na wewe!
  7. Eze B

    JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    kaa na wanafamilia mliweke sawa tatizo hilo kumbuka ushazaa naye watoto tena mapacha na utakapo anzisha familia nyingne fikilia na watoto wako wataishi vip bila uwepo wa mama/baba kuwa karibu nao?. usikurupuke kuanzisha mahusiano mengne wakat bado unatatizo unaweza ukakutwa na tatizo kama...
  8. Eze B

    JamiiForums Tanzania Ajali: Mabasi ya Ngorika na RATCO yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo

    asilimia kubwa ya madereva wanatumia vilevi.poleni sana wahanga
  9. Eze B

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya leo asubuhi Dar es salaam

    R.I.P ndugu yetu
  10. Eze B

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni viumbe wabinafsi sana na wasiokuwa na utu

    male need sex any time. hivyo ukiwa unalea lazima michepuko kama Kenya
  11. Eze B

    JamiiForums Tanzania Mama mwenye nyumba ananitega sana

    duu! mchane live kwamba humtaki kama anataka kux mwambie umuunganushie kwa baba yako coz ndo lika yake
  12. Eze B

    JamiiForums Tanzania Maskini mke wangu

    huyo jama hana sumu
  13. Eze B

    JamiiForums Tanzania Nifahamisheni

    hiyo bikira kwa mwanaume inakaa sehem gani?
  14. Eze B

    JamiiForums Tanzania Hamna kitu kinachoboa katika mapenzi kama hiki

    tena sana
  15. Eze B

    JamiiForums Tanzania Hamna kitu kinachoboa katika mapenzi kama hiki

    pengne hupendwi ndo maana anakuona unajipendekeza tu kwake
Back
Top Bottom