Mpenzi wangu kapewa mimba na Mjomba wake

Mpenzi wangu kapewa mimba na Mjomba wake

Mimba ya mjomba..? still loarding.
Msimamo wa familia dhidi ya mbakwa na mbakaji uko vip?
 
Hahahaha.... kaka wa mjomba wake indeed...

Hahahaaaa..... amebakwa indeed....

Akili za mbayuwayu changaya na za kuambiwa utapata zako...

Ndani ya wiki moja... kimya... ndani ya wiki moja...mbako.... Ndani ya wiki moja... mimba.... Ndani ya wiki moja.... Taarifa.

Khaaa....

ahaaaaaa nitungie na mie methali hii imekaa poa
 
kaka wa mjomba wake ndo nani sasa? mbona uongo umezidi kipimo?
 
nadhani uko choo cha stand wewe.......huwezi kufanya mawili kwa wakati mmoja,,, maliza la chooni then jaribu kuedit...
 
Hahahaha.... kaka wa mjomba wake indeed...

Hahahaaaa..... amebakwa indeed....

Akili za mbayuwayu changaya na za kuambiwa utapata zako...

Ndani ya wiki moja... kimya... ndani ya wiki moja...mbako.... Ndani ya wiki moja... mimba.... Ndani ya wiki moja.... Taarifa.

Khaaa....


shue zinafunguliwa tarehe 18 tuachane na hzi hadith zao za kusadikika
 
Kwani kaka wa mjomba kwa kiswahili anaitwa nani?
 
Na wewe mbake usubirie wiki moja aje akupe taharifa kama na yakwako ataipata??????
 
Na wewe kambake dada wa shangazi yake au mpeleke polisi
 
Hivi kwa nini unaandika "mnapendana sana" .....kupendana sana kukoje?!
 
Ila na wewe ni mbinafsi kweli, yaani baada ya kutafuta msaada wa kisheria ili kumsaidia aliyebakwa, unachoombea msaada ni mimba.
Pole, mazingira ya mimba yanaibua maswali mengi sana, kama unachezewa chezo hivi, ila kwa kuwa ni mpenzi (huwa naita kimada) potezea.
Ila na wewe kupendana kote huko unaposema umeshindwa vipi kumtia mimba?
Ona mwenzio kabaka na mimba juu.
 
Subiri ajifungue kisha mumchuke mtoto muendelee na penzi lenu. Kila la heri.

Nina mpenzi tupendana sana, siku moja alienda kijijni kusalimia ndugu zake na ikapita wiki sijawasiliana naye.

Baadaye alikuja kunipigia simu akaniambia yupo Hospitali, namuuliza tatizo nini akaniambia kaka wa Mjomba wake amembaka.

Sasa ana mimba nisaidieni, nifanyaje?
 
Back
Top Bottom