Mke wangu hataki kufanya tendo la ndoa

wanajamii naombeni ushauri,

kwanza najua kabisa kwamba mke wangu sio mpenzi wa tendo la ndoa kama mimi. Mara nyingi nimekuwa mimi ndio mwanzilishi wa kuomba kwamba nahitaji au vinginevyo imefikia mahali naona kama namlazimisha na anafanya kama vile ni lazima.

Pili naona kama maungo yangu yanamzidi uwezo yaani nimekuwa nikifanya kwa utaratibu bila kufanya stailli mbalimbali ili nisimuumize lakini inavyoonekana ni kwamba anapata maumivu sana nikimuuliza huwa anaogopa kusema lakini pia amekuwa akitokwa na damu mwakati wa tendo la ndoa, hivyo naona kuwa labda pengine ni kutokana na kiungo kikubwa mungu alichonijaalia.

Sasa jamani nifanyeje na mimi bado nampenda mke wangu na ninahitaji kula tunda?

promo...
 
it is 99% unlikely kwamba kuna kiumbe kisichopenda ile zawadi toka kwa mungu

kaka, nunua vitabu ujifunze zaidi kuhusu maumbile ya mwanaume na mwanamke, kumbuka kwamba wanawake hujifungua na vihyo hiyo ndito iko elastic kwahiyo kusema inaumia kutokana na size yako labda kama unafakamia cervix ya mtoto wa watu which is highly unlikely kama mnafanya taratibu

  • nkushauri nenda kamuone daktari mtaalama wa masuala ya fertility jinsia na mshauri nasaha mzuri
  • improve your communication
  • kuna wakati pia wanawake wanapata ungonjwa wa maumivu wakati wa tendo (nimesahau jina), mpeleke hospitali akachekiwe
  • pia wifey anaweza kuwa na msongo wa mawazo
  • kama hali hii imeanza siku hizi za karibuni inawezekana pia amekuchoka kabisa na intimacy kwishnehi che!! Au labda humfikii aliyekutangulia

wanajamii naombeni ushauri,

kwanza najua kabisa kwamba mke wangu sio mpenzi wa tendo la ndoa kama mimi. Mara nyingi nimekuwa mimi ndio mwanzilishi wa kuomba kwamba nahitaji au vinginevyo imefikia mahali naona kama namlazimisha na anafanya kama vile ni lazima.

Pili naona kama maungo yangu yanamzidi uwezo yaani nimekuwa nikifanya kwa utaratibu bila kufanya stailli mbalimbali ili nisimuumize lakini inavyoonekana ni kwamba anapata maumivu sana nikimuuliza huwa anaogopa kusema lakini pia amekuwa akitokwa na damu mwakati wa tendo la ndoa, hivyo naona kuwa labda pengine ni kutokana na kiungo kikubwa mungu alichonijaalia.

Sasa jamani nifanyeje na mimi bado nampenda mke wangu na ninahitaji kula tunda?

mkeo anajua kama unamlalamikia huku jf??
 
Nina uhakika ungeanza na post hii hakuna mtu angekujibu. Kumbe mpuuzi tu unajisifu uongo tu hapa, huna lolote. Story ya kutunga halafu. Hebu tuondokee hapa.

Mwambie aweke picha, watoto bwana.
 
Mkuu kama ni swala la size fanya majaribio kama ifuatavyo :- Nenda pale Afrika Sana, jichukulie mdada poa mmoja, mshughulikie uone kama atatokwa na damu, then utajua umejaliwa mtwangio mkubwa!!

hahahaha.......asa kama mtwqngio mkuwa, c hata size ya ndomu hakuna.....ila hakuna namna aende tu
 
mwandae vizur coz ndefu tuu ndo zinashida ila nene hazina shida shimon ka kawa
 
Mmmh watu kwa promo! Kwahiyo unataka na wale wadada wenye maungo mapana wakutafute sio? Je wakikuta sio kama unavyotangaza? Au tayari utakuwa umeisha kula? Mjini kweli mipango...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom