Wanaume wanaohonga hawana uwezo wa kushawishi mwanamke

Kupigwa paip...
Kupigwa bomba...
Kupigwa mashine...
hahahah....hadi K inawekewa barafu, sio mchezo mkuu! unapigwa mashine hadi unaona kama dunia imekosea njia yake...shabaaash!
 
mie najua karne hii wanawake ndio wanahonga, mwanaume ukiwa mzembe kitandani utahonga wakati wenzio tunahongwa lol!😕

.....hii imetulia sana! wakati maboya wanahangaika kuwahonga vidume vya ukweli vinajipigia kiulani!

Siku hizi wanawake tunahonga wanaume hadi wanazimia, bado kuwaoa kabisa tu
...Ahsanteeee

Acha Ushamba, wacha tuonge....
....teh teh

Mimi sihongi na nina gegedaa anytime tena watoto wakali sana wengine wana magari yao na pesa zao wengine hawana hata mia lakin sihong na nawala vzur tu na nimeshamgegeda demu mmoja muhasibu wa Vodacom somewhere in Tz... mzur sana ana maisha yake bomba na adi boss wake anamtaka ila mim nakula bureeeeeee mwingine ana ma boutique kibao mjini hapa na nakula bure pia na kuna mmoja alikua miss univsty chuo flan hana pesa na alikua anafuatiliwa na matajir tu ila nilimla bureeeeee sina dawa sinaa kidonge ni mdomo wangu tu unatema sumu tamuuuuu na huwa hawanikatai... nimewasilisha na naunga mkono hoja

........hii comment ni timamu sana, imesimama! Maboya wa kuhonga hawatii pua kwenye hii comment!
 
Kama wewe unahonga ujue wewe ni boya.......!!!! Mwanaume unaejiamini utahongaje????????????????????????
 
Mimi sihongi na nina gegedaa anytime tena watoto wakali sana wengine wana magari yao na pesa zao wengine hawana hata mia lakin sihong na nawala vzur tu na nimeshamgegeda demu mmoja muhasibu wa Vodacom somewhere in Tz... mzur sana ana maisha yake bomba na adi boss wake anamtaka ila mim nakula bureeeeeee mwingine ana ma boutique kibao mjini hapa na nakula bure pia na kuna mmoja alikua miss univsty chuo flan hana pesa na alikua anafuatiliwa na matajir tu ila nilimla bureeeeee sina dawa sinaa kidonge ni mdomo wangu tu unatema sumu tamuuuuu na huwa hawanikatai... nimewasilisha na naunga mkono hoja

Kacheki afya, inawezekana na UKIMWI haujakukataa
 
mwanaume huwa hahongi bali anatoa.matumizi kwa yule anayempenda, na yule anayeonekana kuhonga huwa anauziwa(anafanya biashara) mwanamke.

sio tu wanaume ndo wanahonga hata wanawake wapo kibao wanao honga
 
mwanaume huwa hahongi bali anatoa.matumizi kwa yule anayempenda, na yule anayeonekana kuhonga huwa anauziwa(anafanya biashara) mwanamke.

sio tu wanaume ndo wanahonga hata wanawake wapo kibao wanao honga
 
.....hii imetulia sana! wakati maboya wanahangaika kuwahonga vidume vya ukweli vinajipigia kiulani!

...Ahsanteeee

....teh teh

........hii comment ni timamu sana, imesimama! Maboya wa kuhonga hawatii pua kwenye hii comment!

We uko wapi ktk hizo category mkuu?
 
Siku hizi mwanamke mrembo kummiliki lazima uwe vizuri mfukoni.ikitokea wewe ni hohe hahe halafu unamiliki mwanamke mrembo kuwa makini sana wenye nazo watakuchapia.
 
Yangu hayakuhusu, sound za mwanaume bahili sizipi nafasi ...lol
Hahahahaha ! Haya bhana ipo siku nitakupata ngoja nijipange kwa sound ila nina uhakika nitakupata tu, nikimaliza kukugegeda ndiyo nitakuambia mie ni flani. Hata miaka 5 ijayo nitakupata tu kutumia hii style yangu kali sana
 
Jipe moyo kaka
 
Back
Top Bottom