Recent content by Extra Limo

  1. Extra Limo

    JamiiForums Tanzania Nichagueni kuwa Rais wenu 2025 niwafanyie yafuatayo...

    Mkuu kama Khumbu yule demu wako alikutesaa vile.Hii nchi ukipewa utakufa hata mishahara mitano ya uraisi haitafika tutakuwa tumeshakufukia.
  2. Extra Limo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Big up mwana,afadhali story zako za kiujana.Maana kuna mzee huko kapewa limbwata mchepuko anauita bimdogo. Bora tumepata chimbo la kupumnzikia
  3. Extra Limo

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ijenge barabara ya mwendo kasi ambayo ita-charge hata Tsh 1000 kwa Km 1, ila speed isipungue 150 kwa saa

    Kiduku mwana wa Lilo katoka Ulaya.Sisi waendesha baskeli tujiandae kutapika nyongo.
  4. Extra Limo

    JamiiForums Tanzania Nipe IST namba D ya sh 6.5m

    Ukikosa IST,ukitaka Noa namba D kwa hiyo bei njoo Pm mkuu
  5. Extra Limo

    JamiiForums Tanzania Ndugu zanguni, ukipewa lift usitoe tena changamoto kwa aliyekupa mpaka akajuta

    Subiri ule Jackpot utanunua tuu mkuu,punguza pupa
  6. Extra Limo

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Ngoja akanywe maji, atarudi
  7. Extra Limo

    JamiiForums Tanzania Nimejiunga JF tarehe 01/12/2020 naenjoy Sana

    Karibu sana Jf,mutu ya Kongo Le Mobimba
  8. Extra Limo

    JamiiForums Tanzania Wataalamu: Bangi sio salama kwa moyo wa binadamu

    Game nakichafua tena nikiwa high huwa hamna kupoa
  9. Extra Limo

    JamiiForums Tanzania Wataalamu: Bangi sio salama kwa moyo wa binadamu

    Mwaka wa tano huu boss
  10. Extra Limo

    JamiiForums Tanzania Wataalamu: Bangi sio salama kwa moyo wa binadamu

    Hamna starehe tamu kama bangi,kwanza ni starehe isiyo na gharama.Onyo vuta bangi bila kuchanganya na kilevi chochote utaifurahia. Haha mkuu siku moja vuta usikilizie zile hisia nna uhakika hutakuja kuisema vibaya bangi(dawa) humu.
  11. Extra Limo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siamini kama leo naumwa kwaajili ya mapenzi

    Hata Umomi alianza hivi hivi mwisho wake akajipiga kamba.Mkuu tuliza akili ufikirie kwamba bila huyo kinchenchede huwez kuishi.
  12. Extra Limo

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari kwanini mnawakimbia CHADEMA na ACT Wazalendo?

    Wanamuogopa baba mwenye nyumba asije kuwadai kodi.
  13. Extra Limo

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi wa kitanzania ni wajinga sana?

    Vijana wa Tanzania ya uchumi wa kati.
  14. Extra Limo

    JamiiForums Tanzania Nakumiss Mangwea

    Rest in peace Cow Bama,mstari pendwa kwangu ni 'waliozusha wewe jambazi wewe teja waje kwangu kugombea umeneja'
  15. Extra Limo

    JamiiForums Tanzania Wakati we unaringa na Trakoo lako mi naringa na...

    Zero si ulisema umestaafu chamani,tulikuwa tunaanza mchakato wa kumtafuta mgombea mpya. Tulishaambiwa vijana wa kuanzia 82 tuache tamaa,Zero ulitakiwa uwe na msimamo.
Back
Top Bottom