Nakumiss Mangwea

Rest in peace Cow Bama,mstari pendwa kwangu ni 'waliozusha wewe jambazi wewe teja waje kwangu kugombea umeneja'
 
Nyimbo za ngwair nilikuwa hazielimishi jamii bali kusifia ngono na gambe na imagination za kumwaga
Ndani ya ghetto ni mengi yashatukuta Lakini masela bado tunakomaa kutafuta/ Bado tunazisaka hata kwenye vichaka Atafutae hachoki akichoka ndio ameshapata /Japo sometimes kile kitu unachopata ni tofauti kabisa na kile unachotaka/ Ila mwanaume lazima ujifunze kuridhika kwani ukichagua sana hukawii kutoka kapa

Na usione tumepinda migongo, ukadhani ni vibyongo
Pengine ni ufupi tu wa mlango
We endelea kula bia acha mi nikapate gongo
Mradi wote tuwe stim ndio life ya kibongo
~MSELA~
 
isho_boy rudi hapa ufute kauli yako
 
R.I.P MANGWEA//
NACHUKUA HUU WASAA KUONGEA NA MASELA//
FANYENI MEMA , ILI TUKUTANE AHELA//
#MFALME_WA_MITINDO HURU
FB_IMG_16222183087213655.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom