Recent content by EXTERMINATOR

  1. EXTERMINATOR

    Kitabu Kipya: Practical geography for East Africa

    Kitabu Kiaonekana ni kizuri. Ntaweza kukipata vipi huku Mwanza?
  2. EXTERMINATOR

    Naomba kufahamishwa, Inakuwaje hii kitu

    Kwa anayefahamu, hasa wanaofanya kazi kwenye sekta ya mawasiliano naomba kujuzwa kuhusu hili: Hizi namba special mfano 15542, 15656 n.k zinasajiliwa kwa watu binafsi pia na matumizi yake ni sms tu au hata kupiga? Iwapo nahitaji nitaipata kwa kampuni gani ya simu au kila kampuni lina namba zake...
  3. EXTERMINATOR

    THE FALL OF CHADEMA - Vyombo vya habari vimeanza kususia Siasa za CHADEMA, Jiulizeni!

    Pitia thread ya kikiao cha triple K (Kagame,Kaguta,Kenyatta) ujue nini viongozi wa nchi yako wanatakiwa kufanya sio kutwa kutuletea ujinga hapa jamvini p&~*$§¥fu we!
  4. EXTERMINATOR

    Babu Wa Loliondo Katufunza Nini Kama Jamii?

    Ujasiriamali hauhitaji elimu ya juu
  5. EXTERMINATOR

    Maisha kwenye sayari ya mars

    Kwani mtu hawezi kuwa alien?
  6. EXTERMINATOR

    Kwa Kumsaidia Utamwambia Maneno Gani??

    Vere simpo! Namwambia Sweetie stand at ease please! Inaachia
  7. EXTERMINATOR

    Tukio la kusikitisha Arusha leo

    Kwani nurse anatengeneza oksijeni. Amekabidhiwa mgonjwa kwenye gari na mtungi wa gesi sasa kama imeisha angerefill kwa kujambia?
  8. EXTERMINATOR

    Nini maana halisi ya mwenge kukesha???

    Koroboi yenye mafuta ya kutosha kukesha! Hahaaaa.
  9. EXTERMINATOR

    Albert Mangwea (Special Thread)

    Nimesikitishwa sana na huu uzi pamoja na baadhi ya comments za wadau. Kuna watu humu wanajifanya wao ni watakatifu kiasi cha kunyooshea vidole wengine na pia kumlaumu marehemu. Ngwair ni mmoja wa mamilioni ya watz wahanga wa hayo madawa. Kwanini tulaumu wanywaji wa vilevi huku tukisifia viwanda...
  10. EXTERMINATOR

    Natafuta male friend

    Sidhani kama kuna mwanaume wa kiafrika aliyetayari kupoteza muda wake na wewe bila kukudo. Jaribu kwenye Jf ya ulaya bibie
  11. EXTERMINATOR

    Sasa naanza kuelewa maana ya kauli hii "nchi haita tawalika"

    Kutawaliwa nchi hii kuliisha mwaka 1919 baada ya vita kuu ya dunia. Tangu hapo nchi hii haijawahi kutawaliwa. Nchi hii inahitaji KUONGOZWA si KUTAWALIWA. Hata Dr. Slaa alitamka hivyo akijua wazi kuwa watanzania wanahitaji Uongozi na si Utawala. Kinachotokea sasa nchini ni matokeo ya sera mbovu...
Back
Top Bottom