Recent content by Executor

  1. Executor

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu tutengeneze App itakayotuingizia pesa

    Habari ndugu... Naomba mtaalamu mmoja wa IT kuna project nataka tuifanye kwa pamoja. Ahsante!
  2. Executor

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusiana na Magodoro yanayobonyea

    Wewe ndo kama mimi tu mzee, now linanipa stress tu nampango wa kulifanya la wageni [emoji23]
  3. Executor

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusiana na Magodoro yanayobonyea

    Nidirect na mimi mkuu nikawandani maana nami muhanga dogoro langu mtumbwi navumilia tu... Plz text me nikipigie 0625489043
  4. Executor

    JamiiForums Tanzania Magodoro aina zote yapo kwa bei ya punguzo

    Nahitaji QFL 5×6 8Inches ni sh. ngapi? Nitajuaje kama ni Original maana chapa ni nyingi ila fake..!?
  5. Executor

    JamiiForums Tanzania Napagawa na Bati: ALAF, ANDO, DRAGON - uchaguzi mgumu. Watu wa mauzo saundi kibao!

    Niaje... Comment yako ya last year, ulifanikiwa swala la bati? Nipe experience...
  6. Executor

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa P.I.D kwa mwenza

    Duh hali ni mbaya aaseee
  7. Executor

    JamiiForums Tanzania Nanunua paka chotara/ wakizungu

    Anaeuza paka chotara, nanunua naomba tuwasiliane... 0625489043
  8. Executor

    JamiiForums Tanzania Paka wa kizungu

    Habari, Kuna mtu mwenye kufuga paka wa kizungu? Tafadhari naomba tuwasiliane nahitaji mdogo kabisa mmoja. Shukran!
  9. Executor

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betika jau sana, jana wamenizingua mpaka nimeambulia match 3 tu
  10. Executor

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu nitatoboa hapa...!?[emoji368]
  11. Executor

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Hello guys.....Nahitaji series na movies, nani tusaidiane tunapoozana kidogo na kacent...🙏🏾
  12. Executor

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betting App gani hii...!?
  13. Executor

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] apo ungetia 50000 tu
  14. Executor

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Haha sikupingi...[emoji119]
  15. Executor

    JamiiForums Tanzania SoC01 Naamka nikiwa na miaka 40, Mke wangu amekuwa msaada

    Asee pole sana kwa yaliokukuta, mabaya zaidi kwa mumeo, mahakani pakimuacha salama cjuiii.....
Back
Top Bottom