FaizaFoxy hadi nakuonea huruma jinsi unavyoandamwa na thread yako yenye ujumbe mzuri tu tena usioegemea upande wowote zaidi ya kutoa pongezi kwa huyu kiongozi aliyeleta reforms kwa nchi yake.
Pole mama
Kwa huu mwandiko tu napata wasiwasi, ila
mda ukifika dakika wala sekunde haotozidishwa kiumbe yoyote yule.
Ila tuachane na hayo umenena yale ambayo unayafikiria ila nikupe challenge moja emb think what peculiar and difference you're from watu wengine then come n' tell us.
Unaweza ukawa na...
Kwa mantiki hyo unamaanisha viongozi hao wakuu wanachukua maamuzi kwa taarifa ambazo hazijafanyiwa uchunguzi wa kina??
Yaani taarifa tu za hapo kwa papo kutoka kwa wananchi kiongozi azitolee maamuzi magumu???
Hii story inaumiza roho sana,
Wanaume sometime bhna.!!!!
Ila bibi asimame kweli kwel hyo dada apate haki zake na ww simama kama mwanaume mwenye busara kum-push na kumpa bibi some advice kulifanikisha hilo suala .
Huo unyama haufai.
Hata kama aliamua kuona ni juu yake Ila hakupaswa kumfanyia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.