Taja Umri wako sahihi

Taja Umri wako sahihi

Fikiria namba

Jumlisha yenyewe kwa yenyewe

Jibu lako zidisha kwa 4

Jibu utalopata gawanya kwa ile namba uliyofikiria mara ya kwanza

Jibu lako litakua 8 then zidisha mara 7 ndio Umri wangu
 
Back
Top Bottom