Kwa huu mwandiko tu napata wasiwasi, ilapore kwa kushituka
Ahaaaaaaaaaaaaa
Nina imani kubwa sana tangu ni ngali mtoto mdogo kuwa nitakuwa binadamu wa mwisho kabisa kufa au ikiwezekana kutokufa kabisa .
Yangu ni hayo tu .
Ukifanikiwa kufa kwa sbb huna siku nyingi za kiishi Kamuulize Rafiki yako Maiko Jackson ,yeye alisema lazima aishi miaka 150, akaishia 50,tena akiwa na Madokta wa kila aina kilinda Afya takeNina imani kubwa sana tangu ni ngali mtoto mdogo kuwa nitakuwa binadamu wa mwisho kabisa kufa au ikiwezekana kutokufa kabisa .
Yangu ni hayo tu .
sina matatizo ya kiakili nipo mentally fit
Kapime hakuna uzima hapoAnayebisha anyooshe mkono
Mahondaw Ni nani?
Hahahahahahaha ngoshaToka ngosha aingie madarakani watu wanawaza yasiyowazika kupunguza stress
ungekua umeweka huu uzi kwenye jamii intelejensi ningesema una pointi yakinifu na kufunika yote madhanio ya watu ila ngoja nkupe heko kwa fikra zako.mana magriti thinka ndyo wanatokea kama wew
KUFIKIRIA FIUCHA ZAIDI
hii commentUna imani Kali kuliko wakolomije(sizonje na bashite), siku hizi wameacha kabisa hata kwenda kusali wanajiamini kuliko malaika kumbe ni wepesi kama pamba