Kwa iyo alikuwa amekalili kila baada ya mda huo anaingiza uyo ni kiazi tu inasikitisha lakini inachekesha na inatafakarisha sawa Bwana labda walikuwa mafrimansom
Japo muhudumu zilikua zimefyatuka asiweze muelewa nia yake yeye ninani alijichanganya mala kinyaji mala supu naye yupo tu nzuri iyo ila inabidi uwe baunser
Hiyo ndiyo picha halisi ya ulimwengu wa sasa kuharibika Si mtoto, Si Mtu mzima, Si mwanafunzi wote hakiri ni moja na uyo nampongeza alifanya vizuri aendelee hata kama aibiwi mkewe.
KISWAHILI kiendelezwe kuwa ruga ya taifa kiwekewe mkazo kama ni wawekezaji wawe wanajua kiswahili kama awajui basi wajifunze kwanza kabla ya kuekeza au kufanya kazi mashule ya kiswahili yapo tusijishushe kwani rugha inayotambulika wa watanzania wote ni lugha ya kiswahili kama ilivyo kwa nchi...
Kuuliza mshahara kwanza unayemuuliza ana miaka mingapi apo alipo kama mfano huu Dereva ma mgodini anaanza na mshahara wa milioni moja na point bila makato je mwenye miaka kumi atakua na mshahara gani na kila mwezi na mwaka mishahara inaongezeka msidharau kazi unaweza ukawa mshahara mdogo ila...
Uliza uliza mambo ya sasa hayaitaji kukurupuka ni vyema uende mahara ukijua ndo umefika ila ukienda bila kulidhika utakikuta mala leo hapa mala kesho pale panga maisha ndugu fanya maamuzi sahii ukitaka maisha bora kaa sehemu moja kwa mda mrefu pato litaongezeka na utakua na maendeleo Kaza buti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.