Ukitaka kuchagua nke angalia haya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukitaka kuchagua nke angalia haya.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Midavudavu, May 8, 2012.

 1. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kijana emeshindwa kupata vigezo vya kumpata mke amtakaye. Amemshikisha baba yake katika hili. Baba yake amempa vigezo:
  1 ukitaka mweupe-nenda tanga na kili
  2 ukitaka mweusi-nenda kagera,mara,iringa
  3 ukitaka mfupi-moro,mwanga
  4 ukitaka mfanyabiashara-kili,mbeya
   
 2. p

  pansophy JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Akienda Zenji?Zanzibar je?hata Dar hawana vigezo vyovyote kati ya hivyo?
   
 3. E

  EVODIUS RWECHUNGURA Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli hujakosea
   
Loading...