Pedeshee Agonga mtoto hadi kufa


Arvin sloane

Arvin sloane

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
973
Likes
43
Points
45
Age
38
Arvin sloane

Arvin sloane

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
973 43 45
[h=6]Pedeshe mmoja likuwa akiendesha gari yake, bahati mbaya mtoto mmoja akawa anavuka barabara hivyo akamgonga na mtoto akafa palepale. Akatoka ndani ya gari lake akajaribu kumchukua mtoto ampeleke hospitali. Baba wa mtoto akatokea;
Baba: Unampeleka wapi mwanangu?
Pedeshe: Nataka kumpeleka hospitali kisha niende polisi.
Baba: Mi ndio baba wa huyu mtoto, Mungu alipanga hili sitaki usumbufu wa polisi , wewe tusaidie gharama za mazishi tumshukuru Mungu. Pedeshe akafungua briefcase yake na kutoa shilingi milioni 3 na kumkabidhi mzee. Mzee akachanganyikiwa hakutegemea msaada mzito vile.
Baba: Mzee nilete mtoto mwingine umgonge sio tabu ninao wengi….
[/h]
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,060
Likes
17,542
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,060 17,542 280
Hahahahaaaa ili mimi niliwaza mengine mpwa nisamehe tu
 
Z

Ziege liebe

Member
Joined
Apr 20, 2012
Messages
41
Likes
0
Points
0
Z

Ziege liebe

Member
Joined Apr 20, 2012
41 0 0
seriously...topic ya ii thread imekaa kiutata, niliitafsiri tofaut kabisa
 
Arvin sloane

Arvin sloane

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
973
Likes
43
Points
45
Age
38
Arvin sloane

Arvin sloane

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
973 43 45
teh teh teh teh teh
 
Goldman

Goldman

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2010
Messages
1,490
Likes
1,394
Points
280
Goldman

Goldman

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2010
1,490 1,394 280
Aaaaahhhh ww ni nouma
 
Nambe

Nambe

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Messages
1,455
Likes
8
Points
135
Nambe

Nambe

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2011
1,455 8 135
umenirushaje na hyo title yako duh
 
suri

suri

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Messages
317
Likes
10
Points
35
Age
33
suri

suri

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2012
317 10 35
Dah,kiswhili hakijitoshelezi jamani
 
S

Sheshejr

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Messages
435
Likes
9
Points
0
S

Sheshejr

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2012
435 9 0
Da mwana title....... Utata mtupu.
 
Mtanzanika

Mtanzanika

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Messages
2,302
Likes
785
Points
280
Mtanzanika

Mtanzanika

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2012
2,302 785 280
hahah!!!!DAh!!!
utata kweli!
 
S

SHERRIE

Member
Joined
Mar 22, 2012
Messages
76
Likes
4
Points
0
S

SHERRIE

Member
Joined Mar 22, 2012
76 4 0
Ha ha ha. Title imetubambajeee. Kweli watu tunapenda stori za ngono...
 
Wa Nyumbani

Wa Nyumbani

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Messages
433
Likes
15
Points
35
Wa Nyumbani

Wa Nyumbani

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2011
433 15 35
nimecheka sana, sina mbavu kwa sasa. Hivi ndio vitu tunavyohitaji hapa.
 
E

EVODIUS RWECHUNGURA

Member
Joined
May 4, 2012
Messages
20
Likes
0
Points
0
Age
37
E

EVODIUS RWECHUNGURA

Member
Joined May 4, 2012
20 0 0
Heheheheeeee, badala ya kusikitika nimecheka sana uyo baba wa mtoto ni tahaila azimtoshi japo anamjua mungu
 
Arvin sloane

Arvin sloane

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
973
Likes
43
Points
45
Age
38
Arvin sloane

Arvin sloane

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
973 43 45
Ha ha ha. Title imetubambajeee. Kweli watu tunapenda stori za ngono...
hahahahaha nakubaliana na wewe tunapenda sana stori za ngono kuliko stori nyingine zote
 

Forum statistics

Threads 1,273,060
Members 490,262
Posts 30,469,631