Namtafuta mke wangu

Namtafuta mke wangu

Wa Nyumbani

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
438
Reaction score
67
Jamaa aliingia baa akiwa na bastola na kukuta baa imejaa watu , wengi wakiwa mwanaume na mwanamke. Akasimama katikati ya baa na kupiga risasi moja juu na kutamka kwa sauti. "NAMTAFUTA MKE WANGU! YEYOTE ALIYEKUJA NA MWANAMKE ASIYE MKE WAKE, ATOKE NJE HARAKA!! kama umeme wanaume wote walitoka nje mbio na kuwaacha wanawake wakiwa wameduwaa!!!
 
Hiyo ndiyo picha halisi ya ulimwengu wa sasa kuharibika Si mtoto, Si Mtu mzima, Si mwanafunzi wote hakiri ni moja na uyo nampongeza alifanya vizuri aendelee hata kama aibiwi mkewe.
 
Kimbembe wamewaachia wanawake kwenye kulipa bili, najua wanaume ndo walipaji
 
Khi khi khiiii,umetisha badly mzeir!
 
Back
Top Bottom