Recent content by evelomeredaki

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kama unaelekea Tunduma yajue yafuatayo.....

    1)safari yako haitaishia tunduma utaishia njiani(chapwa) 2)misikiti imezingirwa na polisi kuhofia kuchomwa 3)hakuna biashara yyt inayoendelea 4)mpaka wa tz na zambia umefungwa kwa muda 5)rps na vikosi vyake wapo huko
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    Naskia m Kuu wa mkoa jana alikwenda kutuliza but wakamkatalia wakasema wanataka kauli ya rais khs masuala haya.leo asb fujo zimeibuka matairi yachomwa moto barabaran,polisi wapiga mabomu,vibaka wapora madukani.....
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    Iman imaja tu na ndio maana adam hawa na wengine ni hao hao tu.yesu,issa,jesus,bebeto,jeswie ni mtu huyohuyo so mapokeo yametufanya tukafikia hapa but din ni moja tu.m,/mungu katupa mtihan na hatutafaulu mpaka siku ya mwisho
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    Ysn kaka nianze tu kutania ktk swala la hatari hilo???
  5. E

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    Kamata huyo,piga ingiza kny gari.....takbiir,tumsifu yesu kristo....kila mtu anasema lake
  6. E

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wa taifa hili ni wanafiki na Mungu anawajibu

    Hatuna neno au hakuna neno........
  7. E

    JamiiForums Tanzania Magazeti Habari Corp Yameanza Kumjenga Lowassa na Kubomoa CHADEMA!

    Kibanda. Lowasa sijaelewa.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Askofu Isaya Chambala analinyanyasa kanisa

    Tunamlia taiming tunataka kumc....si unajua na ss sukuhizi wametufundisha waisl
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tunao penda 24 Hours >>>Time runs out for 24 the movie <<<<<

    Jack power imekufa na touch?
  10. E

    JamiiForums Tanzania FA leo: Manchester United Vs Chelsea

    Kigogo saa 9:30 alasili Sadat pamoja sanaaaa@mfarisayo darajaaaaani
  11. E

    JamiiForums Tanzania yajue mambo kumi ukisikia Man u vs any team

    1)utajua kuwa man anacheza 2)utajua kuwa man u ni wenyeji 3)utajua kuwa man u watavaa jezi nyekundu 4)utajua kuwa nyimbo gani zitaimbwa sn 5)utakadiria idadi ya watu watakaoingia uwanjan 6)utajua kuwa furguson atavaa suti gan 7)utajua kuwa furguson atakula bigjee gan 8)utajua magoli...
  12. E

    JamiiForums Tanzania FA leo: Manchester United Vs Chelsea

    Ni chelsea vs man u.sio man u vs chelsea. Unajua ukisema kitu kimija unawapa watu faida zaidi ya moja mfano ukisema man u vs chelsea ntajua mambo yafuatayo 1)leo ni siku ya match hiyo 2)ntajua kuwa man u ndo wenyej 3)ntajua kuwa itachezewa old trafod 4)ntajua kuwa m an u watavaa jezi za...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Live on TBC1: Hotuba ya Rais mwisho wa mwezi Machi 2013

    Tatizo muda walioutoa huu sio mzuri.watu watajua anawadanganya tu
  14. E

    JamiiForums Tanzania Sugu ang'aka Uwanja wa Ndege wa Songwe kuitwa Jakaya Kikwete

    So tuuite sugu au .....?!
  15. E

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Grory grory man u
Back
Top Bottom