Kama unaelekea Tunduma yajue yafuatayo.....

Kama unaelekea Tunduma yajue yafuatayo.....

evelomeredaki

Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
30
Reaction score
2
1)safari yako haitaishia tunduma utaishia njiani(chapwa)
2)misikiti imezingirwa na polisi kuhofia kuchomwa
3)hakuna biashara yyt inayoendelea
4)mpaka wa tz na zambia umefungwa kwa muda
5)rps na vikosi vyake wapo huko
 
Kisa nini tena wajameni

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Gari zinazo toka s/wanga zinasindikizwa na wenye baleti nyekundu hadi chapwa,leo kama hujawahi kulia utalia kilazima. mmmmh leo kimenukaje
 
Huwezi amini,wife alikuwa anasafiri kutoka Moro-Tunduma kaishia Mbeya mjini.
 
Back
Top Bottom