Recent content by evedanio

  1. E

    JamiiForums Tanzania Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Amesema serikali iliyopo iondoke ukawa waingie,atakaye mlaani lowassa imrudie,akasema enzi za ishenga kuwa bora lowasa alianzia kanisano kwa gwajima hajaenda kwa mganga wa kienyeji,taifa chini ya lowass litaongozwa na MUNGU
  2. E

    JamiiForums Tanzania Gwajima amkana Lowassa: Apinga kuwahi kuunga mkono Mwanasiasa yeyote

    Wekeni basi ushaidi jamani
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ni taasisi gani zilizompa tuzo Lowassa?

    Mi niliona insta wolper alirepost kutoka kwa mh lowasa kuwa anayashukuru hayo mashirika ya kidini 1200,nikajiuliza hayana connection na tb Joshua kweli?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Everyone you meet is fighting a battle you know nothing about

    Very nice story,kwa kujifunza maisha around us
  5. E

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa siku 14 kwa wageni walioajiriwa nchini bila kuwa na vibali halali

    Etc,sea cliff,mahjndra,ni wahindi tuuuu
  6. E

    JamiiForums Tanzania Huyu Jenista Mhagama akitimiza anayosema kufukuza wageni nitamheshimu rasmi

    Mkuu mimi nimefanya kazi etc kuna wahindi wanakujaga hawajui kiswahili wala kingereza hata hiyo gujilach hawajui wanajifunza kiswahili mishahara wanawekewa kwenye acc za india ndiko wanakokatwa paye as you earn,hapa wanaishi godawn na nyumba za mitaani,wanapewa posho na shopping wanafanya kwenye...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kumpata Zuhura Yunusi

    Anatweeter yake naonaga Venusthestar cna uhakika saana ila cjakosea pia
  8. E

    JamiiForums Tanzania Jipu lingine la kutumbuliwa ni mahakama ya kazi - CMA

    Mkuu umenena,mi toka mwaka jana mwezi wa 12 mpaka leo cjaelewa muelekeo wa kesi walifungua mafaili mafaili mawili kesi moja,mwajiri anahudhuria kwa mahakimu wote wa wili walalamikaji tunafahamu moja,mwisho wa cku eti kesi imefutwa hatujahudhuria,wakati tulishafika hatua ya uamuzi aliyefuta kesi...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Makubwa yaibuka baada ya kutega camera ya kalamu chumbani

    Haya mambo kwa kizazi hiki yanawezekana,mwaka jana mtu aliniita guest,kufika tu kwa room mhudumu anauliza akalete bia ngapi,kataja kumi namuuliza umeanza lini kulewa hivi eti rafiki yangu fulani yupo nje ananisubiri nimalize gemu tuondoke,nilivaa nikatoka nduki maana nilijua mtungoo huoooooo
  10. E

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    Mkuu hata mh ane kilango,bunge la mwisho alipokuwa naibu waziri wa elimu alisema kuwa wanafanya mchakato wa ada elekezi,na kuwarudisha watoto madasa waliofeli na akasema hata waheshimiwa mliopp humu ndani wenye mashule mjiandae Halafu huko ni kingereza na ushoga na uhuni ndo kikubwa,lkn mwisho...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Sumaye, Kingunge, Mbowe na Lissu wapuuzwe

    Hoja ya kusema lowasa kukatwa ndo kumemfanya magufuli awe rais badala ya membe c kweli,kwn aliyemwambia magufuli akachukue form ni jk kwani aliumizwa sana na kitendo cha wanamtandao kuharibu mchakato wa katiba,na ndo alitegemea baada ya kufungwa mikono muda mrefu sana kushindwa kuwatumikia...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kututhibitishia kuwa kuna bilioni 4 zilitengwa kwa ajili ya sherehe za Uhuru mwaka huu?

    Ina maana mkuu hizi pesa zingefanyia sherehe ungeziulizia,au unaulizia sababu zimetajwa kiwango na kupelekwa kwenye barabara?kama hakukuwa na hela hazina,hizo zimetoka wapi,kwani rais angesema zifanyiwe sherehe hata kama zilikuwa za barabara nani angekataa,kuwa mzalendo,hadi nchi za nje habari...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Raisi Magufuli alipaswa awe Paris leo hii!

    Acheni kumdhalilisha rais,juzi papa huko kenya cjui alikuwa anaongea lugha gani,akawa anatafsiriwa si ndo angetakiwa ajue kingereza sababu ni kiongozi wa kidunia wa wakatoliki,kiswahili ni lugha ya pili ya afrika,ikiongozwa na kiarabu acha akaongee hivyo hivyo
  14. E

    JamiiForums Tanzania Billcanas wanakwepa kodi, TRA tafadhali chukua hatua

    Mkuu kulipa kodi ni wajibu na ni moja kati ya sheria za kuendesha biashara kwa mpiga kelele kama mbowe alitakiwa alipe kodi kutimiza sheria haijalishi inatumikaje,ili mradi atimize wajibu wake,then yeye kama mbunge ahoji sasa matumizi ya kodi lkn baada ya kulipa siyo kuleta visingizio vya...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: January Makamba ni hazina ya CCM akitumiwa vizuri

    Yaaani kama vile unataka kumquote mtu vile,baada kughlights kuna maandishi, ya quote na zile dots 3 ukigusa dots zinakuja options zote like,share nk
Back
Top Bottom