Raisi Magufuli alipaswa awe Paris leo hii!

Binadamu hawana jema.....
Mhe rais endelea hivyo hivyo kuchapa kaz.bila kuendekeza safari watu kibao wanakuelewa na kuuheshimu msimamo na utendaji wako. Hao wachache waliokuwa ama wanafaika wa hizo safari ndiyo wanaoponda kutokusafiri kwako ni wanufaika wa hiyo $ misafara. Mirija yao umeziba hawakuzoea kutumia mishahara yao. Safari zisizo na tija ziliisha kuanzia tarehe 4-10-2015 kurudi nyuma.
Hapa kazi tu.
 
Acheni kumdhalilisha rais,juzi papa huko kenya cjui alikuwa anaongea lugha gani,akawa anatafsiriwa si ndo angetakiwa ajue kingereza sababu ni kiongozi wa kidunia wa wakatoliki,kiswahili ni lugha ya pili ya afrika,ikiongozwa na kiarabu acha akaongee hivyo hivyo
 
Lugha siyo tatizo kwa raisi wetu msomi wa chuo kikuu aweza hata ongea kiswahili ikatafsiriwa, mbona china wanaongea kikwao na kikaelewaka.Jamani tukubali tu tumepata rais mzalendo.
 
Nasikia anaogopa usafiri wa anga kama Dennis Bernkamp wa Arsenal.Waswahili hawana jema wamempata Rais anayetulia nyumbani kelele Vasco Mzee wa kuruka majuu kelele.


Watoe ushahidi wa kuogopa usafiri wa anga. Na ushahidi uwe ueleze je miaka 20 akiwa serikalini huwa hapandi ndege?
 
Lugha siyo tatizo kwa raisi wetu msomi wa chuo kikuu aweza hata ongea kiswahili ikatafsiriwa, mbona china wanaongea kikwao na kikaelewaka.Jamani tukubali tu tumepata rais mzalendo.
 
Huyu sio Rais wa kuzurula zurula ovyo bila sababu ya msingi. God bless our president
 
Hivi bado kuna watu wanaamini ni lazima kila mtu/Rais ajue kingereza?jamani ile Lugha tu kama swahili,arabic,chinese etc...ungekua umefika europe ungegundua kua si kila mzungu anajua kingereza!...na kama huko walikoenda Paris ni french...
 
Hapa kazi turn.


Hapa kazi tu. Ung'eng'e upo ndiyo maana ana PhD. na alikwenda Nigeria kwa ndege hivyo huyu rais ni poa sana.
 
Hao wa nne waliokwenda kwa ruhusa nadhani hata shopping hawatafanya kwa raha.. Kutayarisha report
 
ana kazi nyingi za nyumbani, ugenini anawatuma watumishi wake watamletea feedback.

Hapa Kazi Tu
 
Nimefanya kazi na Mh;Magufuri kutengeneza barabara ya kibiti hadi na kila akitaka kuongea na wale wachina inakuwa ngumu hadi tulikuwa tunamsaidia maneno mengine mf.way house's na mambo mengi.
swissme

Wachina tena! tangu lini na kiinglish? Ukiwakona wale hujifanya hawajui kiingereza wala kiswahili.
 
Jaman tuache ushabiki wa chama tuangalie maslahi ya nchi jamani. Kwani angeenda nchi ingepata faida gani? Mwache atulie tujenge nchi yetu hapa. Kwani kingereza ndo kimejenga barabara,kimenunua vitanda muhimbili, au kitatatua matatizo yetu???Mwacheni aimarishe uchumi wetu jamani.
 
Lugha ni tatizo.



swissme

mkuu kikwete yuko vizuri kwenye lugha kafanya nn safari Mara kwa Mara za nje vikao kibao vya nje. tulikuwa tunamlalamikia kikwete safari za nje ya nchi. tumempata RAIS MAGUFULI tumeaza kumtoa kasoro juu ya lugha. unafkiri kikwete alivyokuwa anaenda nchi za kiarabu walikuwa wanatumia lugha gani ipende lugha yako. Binadamu dah baada ya kushukuru kuto kwenda.
 
Huko mjini Paris, Ufaransa kuna mkutano mkubwa wa climate change" ambapo marais wote wa Afrika wamedhuria kwa gharama zao wenyewe isipokuwa Magufuli wetu tu ambaye ametuma mwakilishi ili kuokoa gharama zisizo za lazima na badala yake hizo fedha kuwekezwa kwenye maendeleo ya watu wetu!

Safi Sana Rais Magufuli!

Acha ushabiki wa kijinga wewe, nchi zote duniani marais wapo hapa kushiriki huu mkutano mkubwa wa climate convention kwa mustakbali wa maendeleo ya nchi zao.

Magufuli alitakiwa kuwapo hapa na sio kutuma mwakilishi. This is a historic climate summit with legally binding agreements to be signed by head of states! Where is MAGUFULI???
 
Back
Top Bottom