Nisaidieni kumpata Zuhura Yunusi

Nisaidieni kumpata Zuhura Yunusi

Anatweeter yake naonaga Venusthestar cna uhakika saana ila cjakosea pia
 
Last edited by a moderator:
Pumbavu mkubwa wewe! Zuhura mkeo tangu lini? Yaani mke wangu mnataka kumgeuza karata tatu? Acheni tamaa za kishamba,na muwe na heshima!

Thibitisha kwa picha angalau ya shughuli maana watu wamekolea nae. Ukweli utakuweka huru. Binafsi nampenda dada Yunus kwa sababu tu ya mavaz yake ya Heshima na umahiri wa habari.
 
Thibitisha kwa picha angalau ya shughuli maana watu wamekolea nae. Ukweli utakuweka huru. Binafsi nampenda dada Yunus kwa sababu tu ya mavaz yake ya Heshima na umahiri wa habari.

Naomba tu uishie kumpenda kwa sababu ya umahiri wake katika tasnia ya habari na si vinginevyo.
 
Anatweeter yake naonaga Venusthestar cna uhakika saana ila cjakosea pia

Mkuu mie mtu wa bush tweeter sifahamu kuitumia ningempata WhatsApp ingekuwa poa maana ningemuonyesha na hao ng'ombe
 

Attachments

  • 1449818464420.jpg
    1449818464420.jpg
    49 KB · Views: 284
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom