Kabla atuja wapuza swali je ccm imeshinda kiali Kama kweli kihali tunasababu ya kufanya hivyo
Kwani huyu Benard Membe kama angepitishwa angepambana na nani kwenye kambi ya upinzani?
By the way, Nguvu ya Lowassa ilivuruga vipi mchakato wa uteuzi ndani ya vikao?
Acha kiherehere kama unatafuta wa kumsingizia mimba, sasa kwa nini usipite kimya!Mada kama hizi napitaga kimya maana ni pumba tupu hizi, kama sio uchochezi usio na faida kipindi hiki taifa linapokuwa moja bila kujali itikadi. Wengine wamelewa mchakato wa kampeni bado wako kwenye kampeni wakati zilikwisha kitambo na sasa tunajenga nchi pamoja.
Wewe mleta mada unaonekana ni mtu mzima kabisa huenda na ndevu zipo lakini kichwani mweupeeee.Wewe unajua maana ya kampeni,ulitaka waseme Magufuli ndo anafaa wkt wa kampeni alafu wao wangekuwa wanazunguka kufanya nini kama wangekuwa wanatangaza kwamba Magufuli ndo anafaa kuwa Rais?au ulitaka wampigie kampeni?
Walipanda kwenye majukwaa kutuambia Rais Magufuli hafai, leo tunashuhudia tofauti.
Walipiga kelele wakitueleza hawezi kulisukuma gari lililokwama kwenye matope wakati yuko ndani yake, anatakiwa ashuke, kama alivyofanya Lowassa, Sumaye na Kingunge. Rais Magufuli ameonyesha kwa vitendo unaweza kulisukuma gari lililokwama kwenye matope hata kama uko ndani yake iwapo utatumia akili vizuri.
Walituambia hatuwezi kumtofautisha Dk. Magufuli na CCM. Leo hata vijana wao wa ULIPO TUPO na TimuLowassa wanatuambia Rais Magufuli ni tofauti na CCM kwa sababu anatekeleza ?sera za UKAWA?.
Walituambia hawamtambui Rais Magufuli lakini cha ajabu wakaingia bungeni kumuidhinisha kwa kumpigia kura Waziri Mkuu, Majaliwa ambaye ameteuliwa na Rais wasiyemtambua.
Kwa sasa wanataka tusiitambue serikali ya Rais Magufuli.
Kwa haya machache, kwanini tusiwapuuze kisiasa kutokana na ulaghai waliotuambia?
Kwa hiyo unakubaliana na hoja ya kutomtambua Rais Magufuli?Sijui kama unaelewa maana nzima ya kufanya kampeni ! kama unaelewa hilo basi hakuna cha maana ulichokiandika kwenye bandiko lako, Leta mada zenye mashiko watu wajadili.
Mnashindwa kuwapuuza walioifilisi hii nchi mnahangaika na watu makini.
Kwa taarifa yako kama sio nguvu ya Lowassa kuvuruga mchakato wa kura za maoni ndani ya ccm leo hii Bernard Membe ndio angekuwa rais wa Tanzania na sio Magufuli
Naunga mkono hoja 100%
Bora hata nyumbu wa serengeti kuliko hawa binadamu wenzetu.Yaani ni kama roboti.
Walipanda kwenye majukwaa kutuambia Rais Magufuli hafai, leo tunashuhudia tofauti.
Walipiga kelele wakitueleza hawezi kulisukuma gari lililokwama kwenye matope wakati yuko ndani yake, anatakiwa ashuke, kama alivyofanya Lowassa, Sumaye na Kingunge. Rais Magufuli ameonyesha kwa vitendo unaweza kulisukuma gari lililokwama kwenye matope hata kama uko ndani yake iwapo utatumia akili vizuri.
Walituambia hatuwezi kumtofautisha Dk. Magufuli na CCM. Leo hata vijana wao wa ULIPO TUPO na TimuLowassa wanatuambia Rais Magufuli ni tofauti na CCM kwa sababu anatekeleza ?sera za UKAWA?.
Walituambia hawamtambui Rais Magufuli lakini cha ajabu wakaingia bungeni kumuidhinisha kwa kumpigia kura Waziri Mkuu, Majaliwa ambaye ameteuliwa na Rais wasiyemtambua.
Kwa sasa wanataka tusiitambue serikali ya Rais Magufuli.
Kwa haya machache, kwanini tusiwapuuze kisiasa kutokana na ulaghai waliotuambia?
Hii ndio IQ ya mtanzania tena mtanzania typical ambae miaka 10 iliyopita aliahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania na leo keshasahau kabisa nini kimetokea katika kipindi hicho kiasi cha hata kushindwa kabisa kuweka akiba ya maneno kwa ahadi anazotoa Raisi wa sasa.
Duniani hakuna mtu rahisi kummtawala kama mtanzania.