Umepewa taarifa!
Sasa tafuta njia ya kuhakiki hilo jambo kama ni sahihi,ukithibitisha kwann uhangaike na unamfahamu muhusika nenda kwake ana kwa ana mweleze ulichoambiwa na ulichothibitisha.then ukiona bado katabia kanaendelea kuna ngazi za kufuata mfano kuonana na Mkuu wake wa kituo.
Walimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.