Perpendicular
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 1,494
- 1,185
Ila nimesikia fununu kuwa wanaume ndio tunaweza potea maana wao wanaongezeka kwa kasi.
Amna bana cku hz c mna bashiteana so hata tukipoteana mshapata option...! Kabisaa! Tuhamie hata jupiter nackia panafaa kuishi
eeee ndio mjue umuhimu wetu sasa msitudharauImagine mtoto mzuri km wewe usiwepo, itakuwaje?
Aliyekudharau wewe asali nani?eeee ndio mjue umuhimu wetu sasa msitudharau
Kabisa hasa wenye vyura.Amina.
Na kweli wanawake wabaki wasije wakapotea maana sijui tutaenda wapi.
Amina amina wakifwa nitawafuata mimi shekhKabisa hasa wenye vyura.
Amina babanguTunawadharau sana wanawake, lakini Hawa nduo mademu zetu, wachumba zetu, wake zetu, dada zetu, shangazi zetu, mama zetu na bibi zetu.
Je wakitoweka na ulimwengu ukabaki Wanaume watupu tutakuwa wakiwa na wapweke kiasi gani?
Tusingoje wapotee,
Tuwapende na kuwaheshimu sasa
Hahaha kabisa.Amina amina wakifwa nitawafuata mimi shekh
nimeongea kutokana na tittle ya uzi inavyosemaAliyekudharau wewe asali nani?
Tunawadharau sana wanawake, lakini Hawa nduo mademu zetu, wachumba zetu, wake zetu, dada zetu, shangazi zetu, mama zetu na bibi zetu.
Je wakitoweka na ulimwengu ukabaki Wanaume watupu tutakuwa wakiwa na wapweke kiasi gani?
Tusingoje wapotee,
Tuwapende na kuwaheshimu sasa
Amina.
Na kweli wanawake wabaki wasije wakapotea maana sijui tutaenda wapi.
Hahaha your presence is my happiness mamyHahahahahahaa umenifanya nifikirie... Ile unataka kuchoma mkuki kwenye kipochi manyoya unakutana na ukuta... yaani patupu yaani hakuna manyoya wala kipochi cha kuchomeka mkuki wala hakuna hata kinafasi walau kama upana wa bomba la peni ya biki..... ukiwa huamini unachokiona macho na majasho yanakutoka maana mnara hapo uko wima imara kama mnara wa halotel heheheheheheee
Sijui utalia au utaanza kusali huku ukinena kwa lugha kipochi kirudi...... hehehehehee
Missed you Daby.. .
Bora hilo lako mkuu..
Nitaishije bila Kasie mimi si nitakuwa kama noti bila tarakimu za thamani.. si itakuwa karatasi tu
Furaha yangu ni yako pia mamy kasieOooh jamani..... nimefurahi kusikia hivyo. Umenipa tabasamu la faraja baada ya uchovu wa kazi as siku nzima ya leo...
Nashukuru Dady Daby kutambua thamani yangu, nami nakujali na kukuthamini mno... vile ulivyo nimekupenda. Nikiwa safarini nawe basi moyo wangu unapata burudiko la aina yake, mahaba yako yanafanya tabasamu halikauki usoni mwa Kasie.