Nchi ya Ahadi 2020: Rais ni Magufuli, Waziri mkuu ni Makonda, Spika ni Tulia Akson

yusuphmarcogaga

Senior Member
Jan 5, 2014
145
162
Wakuu:
Najaribu tu kuwaza kwa sauti nchi ya 2020 itakayojaa asali na matunda, najitafakari pale ndugu yetu Ndugai akapoiachia kile kiti na kumkabidhi Tulia Bunge litakuwa Guantanao bay, nawaza tu Majaliwa akimkabidhi Makonda watu watapotea kwa dozi kutwa mara mbili. Nawaza tu kwa mbali Babake Bashite abakie kwenye kiti chake. Em ngoja nijikite hapa kwa juhudi nitafute NAULi.
 
Nadhani kungelikuwa na upenyo, angelimtema kasim na kumweka makonda. Atawatisha ccm , kama kawaida watatishika wanampitisha
 
Hapo kwa mabashite umemzoom sana, yeye atapewa uwaziri tu wa wizara nyeti kama mambo ya ndani, nk. Hata kama humpendi PM, ukikosea kuchagua ndo basi inakula kwako. Maana pia wanafikiria gharama ya kutunza maPM wawili waliotokana na awamu moja. Ila kwa Tulia hapo pana ukweli wa asilimia 99, ameshafanya maandalizi ya kutosha pale Tukuyu mjini tayari kwa kunyakua jimbo. Kwakweli huyu mpiga magongo wa Dom acha akapumzike, ana jazba sana.
 
Bashite umemushushia hazi yake yeye atakuwa waziri wa wizara maalumu itakayoundwa kwa ajili kuwateka na kuwatesa raia.
 
BASHITE itakuwa umemfanyia demotion, yeye kwa sasa cheo chake ni kikuu kuliko MAJALIWA, na MAMA JANETH.
 
Magufuli 2020 ni yake bila ubishi, hapa kazi tu itazidi kuliko miaka yote ya nyuma.

Labda na wengine tutavutiwa kupanda lori lake, tuvuke nae 2020 atakapoendelea kuwa Raisi. Ili niweze kumuona Mhe. Makonda (Kiongozi Jembe aliyeweka historia pia katika kuongoza nchi hii) kwa mara ya kwanza uso kwa uso nimsalimie.
 
spikana PM lazima awe mbunge wa kuchaguliwa...sa hao watu watashinda majimbo yapi???????????
100% wanashinda ilimradi tu nguzo kuu iko nyuma yao namaanisha hapo hata kwa bao la mkono au umesahau mkuu yale mambo yetu kukimbia na masanduku ya kura kisha badilisha badilisha zile karatasi za kura, na ukumbuke wasimamizi wa chaguzi kwenye majimbo ni waleee makada wa ccm,na walionywa kuwa''mtu unapata mshahara mzuri,nyumba,gari na mafuta halafu unatangaza mpinzani ameshida!!!''upo mkuu.
 
Lakini pia kinashindikana nini mkulu akimuamrisha waziri wa sheria na katiba apeleke bungeni muswada wa marekebisho ya katiba ili spika na PM kuwa sio lazima wawe wabunge wa kuchaguliwa itashindikana nini??
 
Back
Top Bottom